Ni Nini Kinampa Mwanaume Heshima Katika Jamii?

Ni Nini Kinampa Mwanaume Heshima Katika Jamii?

sifa kuu ya mwanaume ni uwajibikaji tuu
yaani kukiwepo na matatizo anareact vipi
mwanaume ni yule anaeleta solution ya matatizo kwa jamii inayomzunguka
mfano kama ni elimu ahakikishe watoto wanapata elimu nzuri,wanavaaa fresh ,wagonjwa wanatibiwa,watu nyumbani mashavu yamewatoka yaani watu wanamzunguka wanaenjoy maisha
kama hata mwanaume ana mabilioni , watu hawaenjoy huyo sio au ni mcha mungu analala madhabahuni watoto wamepauka na kusinyaa njaa,wazazi hawapati hata hela ya dawa huyo sio,awe anaendesha range ndugu zake hawasomi hata huyo sio
yaaani unatakiwa ukiwa mwanaume watu wakufurahie kweli waseme ili jembe kweli

Nakubaliana na wewe ila usisahau uwajibikaji wa mwanzo ni 6*6 mengineyo yanafuatia..
 
  1. Kitambi chake
Je ni nini maoni yako? Heshima ya Mwanaume katika Jamii hasa inatokana na nini hasa?

28066_118693974965445_1121361860_n.jpg

Hawa nao kitaa wanaheshima zao
 
Mkuu binafsi naamini hapo kwenye Blue,na vyote vinaendana na kujenga neno moja linaloitwa UPENDO.

Wanajamii

Kipindi hiki cha Sikukuu nilikuwa nina mjadala na Sisters zangu na Shemeji yangu mmoja juu ya nini nini hasa kinampa Heshima Mwanaume katika Jamii hasa pale tu akutanapo na watu wengine iwe ni mara ya kwanza au si mara ya kwanza. Kulikuwa na tofauti kubwa sana ya mawazo, kwa ufupi ilidaiwa heshima ya Mwanaume inatokana na:

  1. Kiasi cha pesa alichonacho na jinsi anavyotumia
  2. Aina ya mavazi anayovaa na ni ya gharama kiasi gani
  3. Kitambi chake
  4. Ucha Mungu wake
  5. Anavyoitunza familia yake
  6. Gari anayoendesha ni ya namna gani
  7. Mali na Utajiri wake
  8. Cheo chake kazini
  9. Huduma yake kwa jamii na jinsi anavyojitoa
  10. Kuwa na marafiki wengi nk nk.

Namba 7 ndo inabeba mengi ya uliyoyataja......
 
Mkuu binafsi naamini hapo kwenye Blue,na vyote vinaendana na kujenga neno moja linaloitwa UPENDO.

tupo ukurasa mmoja mkuu kama nilivyo sema mm hapo juu mwanaume mwenye Upendo anajijengea heshima ndani ya jamii ukiwa na pesa nyingi kama huna upendo ni kazi bure, hata ukiwa na kitambi kikubwa kama huna upendo ni kazi bure, ukiwa na wanawake wengi kama huna upendi ni kazi bure.
 
Wanajamii
Kipindi hiki cha Sikukuu nilikuwa nina mjadala na Sisters zangu na Shemeji yangu mmoja juu ya nini nini hasa kinampa Heshima Mwanaume katika Jamii hasa pale tu akutanapo na watu wengine iwe ni mara ya kwanza au si mara ya kwanza. Kulikuwa na tofauti kubwa sana ya mawazo, kwa ufupi ilidaiwa heshima ya Mwanaume inatokana na:
  1. Kiasi cha pesa alichonacho na jinsi anavyotumia
  2. Aina ya mavazi anayovaa na ni ya gharama kiasi gani
  3. Kitambi chake
  4. Ucha Mungu wake
  5. Anavyoitunza familia yake
  6. Gari anayoendesha ni ya namna gani
  7. Mali na Utajiri wake
  8. Cheo chake kazini
  9. Huduma yake kwa jamii na jinsi anavyojitoa
  10. Kuwa na marafiki wengi nk nk.
Je ni nini maoni yako? Heshima ya Mwanaume katika Jamii hasa inatokana na nini hasa?
mwanaume anasifiwa kazi nacyo hvyo ulivyoviandika
 
Heshima ya mwanaume katika jamii inaletwa na HEKIMA aliyonayo muhusika. Mwanaume mwenye hekima atakuwa na heshima kwa wengine iwe amekutana nao kwa mara ya kwanza au mara nyingi, iwe anawafahamu au hawafahamu. Ukiheshimu wengine heshima hiyo inarudishwa kwako.

Mwanaume mwenye hekima atatumia pesa (bila kujali kiasi) yake vizuri, atavaaa mavazi yanayodhaniwa na jamii husika kuwa ni ya heshima na atakuwa smart (milegezo a.k.a kata k haitahusika), atafanya mazoezi ili hata akiwa na kitambi basi kisiwe kitambi maradhi, atakuwa mcha Mungu, ataitunza familia yake na kuijali jamii inayomzunguka (atashiriki katika shughuli za kijamii) na mwisho hata awe na cheo kikubwa kiasi gani kama hajui kuwa cheo ni dhamana na kukitumia hicho cheo kwa kutoa huduma/kusaidia/kuongoza walio chini yake kwa hekima, hicho cheo hakitampatia heshima yoyote zaidi ya kuogopwa tu.
 
Yani kama unaona mke mmoja hakutoshi uongeza wake sio uende kuzini na malaya 100 ili uonekane we mwanaume.

Kwa hiyo Mkuu hata kama huna pesa lakini una wake 4, iko poa Heshima utaipata?
 
ah wewe unatania nini....mbona unapewa heshima kweli kweli...ebu wewe fanya mambo hapa tz umgegede klynn, madame rita, mke wa rais uone kama hatujakuvulia kofia kitaaa....utakuwa mbaya weye!!!

Mkuu ina maana Ankal yule wa Mashindano ya U-Miss ana heshima sana hapa mjini? Na hao Ma Bebs wa Ukweli ukiwamega kwa mfano huyo KYLN sijui, yule Babu wa Mikocheni atakuwacha au ata ku-RIP?

Na huyo Mke wa Rais wa TFF au wa nini?

Au Mkuu una maana utapata kifo cha heshima?
 
Hayo yoote combination yake huleta heshima.

Ili uheshimike lazima uyamaintain hayo na ziada kidogo.

Mkuu nakusoma. Unapokutana na Mwanaume siku ya Kwanza, nini nini kinakufanya wewe umpe Heshima?
 
Inategemea mkuu na jamii ipi? Na aina ya jamii iliyokuzunguka

Kama wewe jamii yako wengi mi ya wacha mungu basi ukiwa mcha mungu heshima yako itapanda

Kama wewe jamii yako mfano majirani zako wana matatizo ya ndoa zao mfano kina mama wananyanyaswa na matatizo ya ndoa basi jinsi unavyoipenda familia yako ndivyo unavyopandisha chati...

Cheo kazini inategemea na aina ya kazi kwani the same position inatofautiana na aina ya ofisi director of finance wa sibuka tv status yake ni tofauti na director of finance wa baclays bank

Kiasi cha pesa na jisni anavyotumia inategemea kuna wengine inawapa sifa na wengine inawashushia sifa wanaonekana wafujaji mali

Mali na utajiri ndio kila kitu...heshima lazima iwepo mpaka mbwa atakuheshimu
Namba 9 yes lazima heshima ipande

So kwa vyote hapo nasema mwamaume heshima inapanda kwa kiasi cha mali na utajiri
Hapo sasa ina include mchanganyiko wa gari lake, nyumba, na assets zake zingine...

Kitambi sio dili hata nguruwe ana kitambi

Mkuu nimekupata vema. Je mtu akiwa na Mali na utajiri bila kujali anavaa nini, anakula nini na mwonekano wake ukoje hata kama ni hovyo hovyo inakupa heshima pia?

Je afya ya mtu inampa heshima pia?
 
Kwa hiyo Mkuu hata kama huna pesa lakini una wake 4, iko poa Heshima utaipata?
Mwanaume kama huna uwezo wa pesa hata mke mmoja haifai kuwa naye...Kwani we unadhani kuoa mana yake ni kusex tu au kuhudumia mke wako kila kitu.

Sijui wenzetu mmelewa katika mazingara gani mana sisi kabla ya kuoa mzazi wako anakufundisha nini mana ya ndoa.

Mana ya ndoa sio kusex tu.

-Huwezi kuoa kama huna uwezo wa kumtunza huyo mke wako.

-Mke wako lazima umhudimie kila kitu yani mke wako akijinunulia kitu ujuwe kisha kudharau unless ananue kitu kisiri siri wewe usijuwe.

-Mwanaume mwenye kujiheshimi ni yule anaye mhudimia mke wake kila kitu yani lazima awe na uwezo kama hana uwezo huyo ni ---- tu wala asiende kuoa.
 
Back
Top Bottom