Hakuna cha moshi wala moto..
Wote wanakaa kwa adabu..
Ujumbe wameupata wote..
Chamurio kapigwa chini.
kalemani mbunge wa chato kapigwa chini..
Wote wanaishia kwa adabu sasa..
Mama ana total control
Ccm mwenyekiti ndio Causa Finita Est.Hahahahaha mama ana total controlonly time will tell.
Ccm mwenyekiti ndio Causa Finita Est.
Kamati kuu imekutana leo wanaweza wakakusuprise wakitoa press release yao kupitia Shaka Hamdu Shaka.