ha ha ha ha ni ngumu kushirikisha;ila ni furaha kubwa sana kuwa na watoto uliowapa mfumo mzuri kukaa meza moja na kujadili ABCUmemshirikisha mkeo kuhusu hili?
[emoji23][emoji23]Kabati limeanguka huku baba naniliuu[emoji23][emoji23][emoji23]
kanga moja tu,unaweza ukajifanya kuiachia wakati unazunguka zunguka katika eneo huru...na huwe umebarikiwa na chura itakuwa hatari zaidiKabati limeanguka huku baba naniliuu[emoji23][emoji23][emoji23]
Cha muhimu ni kula vizuri na kuhakikisha uchumi auyumbi kwa kufanya kazi kwa juhudi na maarifaHongera mkuu kula sana karanga/nazi/mihogo uongeze rutuba utafikia malengo
Haha ni makofi mtu anakupiga si kwa lengo la kukuumiza au kukukomoa, ni katika kukufikishia ujumbe tu kwamba amekasirika. Unashtuliwa tu sio unapigwa unaenda kujikanda, mara nyingi yanaishia kwenye mahaba. [emoji85][emoji85][emoji85] aliandika mwanajf mmoja sina hakika kama nimemnukuu sawasawaKhantwe makofi ya kimapenzi ndo yapi
Haha ni makofi mtu anakupiga si kwa lengo la kukuumiza au kukukomoa, ni katika kukufikishia ujumbe tu kwamba amekasirika. Unashtuliwa tu sio unapigwa unaenda kujikanda, mara nyingi yanaishia kwenye mahaba. [emoji85][emoji85][emoji85] aliandika mwanajf mmoja sina hakika kama nimemnukuu sawasawa
tukiwasemesha tatizo tukisipowasemesha tatizo bora mtunyongee tuh[emoji849][emoji849][emoji849]
ha ha ha haItakua kwasababu sijawai chezea kichapo ndomana
@Extrovert si nimepatia mpenziAsante kwa nukuu utakua hujakosea[emoji23][emoji23]
NimekusomaHapa mnahitaji nyumba private la sivyo mtatuharibia mood wapenzi watazamaji
Haswaa, your right sweet tender roni girl😘@Extrovert si nimepatia mpenzi
Itategemea msomali,muarabu n.kSawa ila hao 6 wa nje kila mmoja na mama yake