Sio kunyenyekewa bwana kubembelezwaTatizo nyie mnapenda kunyenyekewa sana
Kwani hawa waafrika wanajua hilo mama!!! Yaani tuna taabu acha tu.Sio kunyenyekewa bwana kubembelezwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi wewe na mimi mbona kama tunafanana kwa asilimia 99[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuna siku naamka nina kisiraniii, ukinisalimia kosa usiponisalimia pia kosa.
Mapenzi ni kitu kingine,tunasoma sana ,tunatafuta pesa,tunatafuta kazi n.k yote mwisho wa siku ni mapenziAnakujibu[emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi wewe na mimi mbona kama tunafanana kwa asilimia 99
[emoji23][emoji23][emoji23] usijali, we have a special place in heavenKwani hawa waafrika wanajua hilo mama!!! Yaani tuna taabu acha tu.
ha ha ha sikatai,iwe ni kudekezana basiSio kunyenyekewa tu bali kudeka pia, na umpate anaejua kudekeza........
ha ha ha ha bali iwe kudekezana basiSio kunyenyekewa bali kudekezwa.
Udekezwe mtoto wa kiume unataka ugundue nini?ha ha ha ha bali iwe kudekezana basi
Hakika[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] usijali, we have a special place in heaven
Wanaume wengine hawajui kudekezwa ni wagumu [emoji23][emoji23][emoji23]ha ha ha sikatai,iwe ni kudekezana basi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Udekezwe mtoto wa kiume unataka ugundue nini?
ha ha ha ha na wewe pia!Sio kunyenyekewa bwana kubembelezwa
'Cause I don't care when I'm with my baby, yeahMood swingView attachment 1121989uzi teyari
Ukiona watu wanajengewa na kununuliwa magari,ujue wametumia mapenzi kama sanaa.Udekezwe mtoto wa kiume unataka ugundue nini?
Kwahiyo ushanunua magari mangapi na kunjenga majumba mangapi kwa kudekezwa?Ukiona watu wanajengewa na kununuliwa magari,ujue wametumia mapenzi kama sanaa.