Ni ngumu kutuelewa

Nina nyumba gari kadhaa kazi nzuri na miradi kadhaa ya kuniingizia kipato madem madem wananifatafata ka nz'i kwa nini nisideke sasa[emoji4]
Huko sio kudeka bali ni kuringa na kujiona unaefatwa ni wewe tu kwa sababu ya kipato chako.
 
Mkuu nipende bas hata kidgo mbona unisukumiza kweny kuanzisha uzi wa kujinyonga[emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]acha utani mkuu
 
Huwa nawaambia siku zote ninyi kuwa viongozi wetu haiwapi guarantee ya kufanya dhambi vyovyote mnavyojisikia kwa minajili ya kwamba tuwasamehe au tuwavumilie na tukiwauliza mnasema eti tusishindane na nyie tunajua hiyo ni defense mechanism yenu tu ya kuhalalisha maovu yenu

Wakati maandiko yako wazi kabisa kwamba uzinzi na uasherati ni dhambi na hakuna jinsia iliyoruhusiwa kutenda dhambi sasa nyie jifanyeni mnajijua kuliko Mungu aliyewaumba akawakataza kuzini na kufanya uasherati halafu jidanganyeni tu kwa kutolea mifano ya wale manabii na mitume sijui kina Solomon na David wakati wenzenu baada ya kufanya huo uchafu wote walikuja kutubu kwa Mungu na walisamehewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…