Ni nani yuko nyuma ya huu ujinga!?

Habib Mchange ndio anaepanga maujinga yote haya. Ndie ia anaepanga yale maandamano ya Wakatoliki wa kuchovya. Hayabypte yapo wazi kwenye social media. Anzia youtube umsikilize, ndio mpangaji wa ujinga wote huu
 
Bila yaka ni wale wamiliki wa wakatoliki wa kuchovya wa Yombo kama sii Makangarawe!
 
Mbona kalipokuwa chadema kakiandika vijitabu vyake vya "ujasusi" mlikasifia sana?

Cc: Mimi Wewe Yule
Matipo karibu tuendelee na mjadala. Kwa nini umetumia neno "mlikasifia" kwani mshamalizana naye mshaona hana faida tena kwenu?

Unataka kusema ili project ndiyo imeshakufa au mnasubiri muilete kivingine? Maana hata wale wabunge wawili mliowapa kimagumashi watapingwa mahakamani siyo muda.
 
Na bila hata ya aibu, au hata kuheshimu tamaduni zetu tu; hao hao wanahimiza walioguswa na mkasa wa watoto wao kuuliwa waende kujisalimisha kwa wauaji hao hao kwa kutoa ushuhuda mbele ta tume feki ili wapewe chochote kwa kuwapoteza wapendwa wao!

Nchi imekuwa ya kijambazi sana hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…