Jigsaw
JF-Expert Member
- Jun 17, 2011
- 1,823
- 684
Tatizo wengine mnaoandika 'nyuzi' za JF ni kizazi cha 'MIGI'!Kazi yenu kubwa ni kushadadia Elimu za Watu na Kuwasifu wenye GPA Kubwa wakati zenu za Kichina!Mnajidai mnajua majambo lakini hamjui,na hamjui kama mhajui!MKWECHE Nafunguka!
Chuo cha NBC ni kile chuo ambacho enzi zetu(za mwalimu) kiliitwa chuo cha benki(amon nsekela) kipo hapa Iringa na kwa sasa ndio Ruaha Unuversity aka RUCO
Huyu Mzee Ni JEMBE na Amebobea katika Fani ya Benki na fedha.Si kwa kusomea tu bali kazeekea kwenye Kazi maswala hayo.Taaluma ya Fedha kazama nayo Darasani kusoma,kuifundisha na Kufanyakazi!Orodha ya machapisho aliyochapisha mzee Mgimwa mwanataaluma Legelege au wa MIGI hawazi kuandika! namfahamu Dr Mgimwa,ni Mbunge wangu wa Jimbo la Kalenga na PhD alipata mwaka 2000 ni ya Kwenda shule na alifanya by Thesis!
Mie Mkweche nilipokuwa nasoma Uzamili pale Mu,niliwahi kusoma hata Andiko lake la MBA lilikuwa ni Kali!Mzee Kaiva,msiomfahamu acheni Mzengwe!
Kisiasa hajawahi shika nafasi kubwa ila katika maswala ya fedha ndio JEMBE!Kastaafu kazi BOT,akiwa Principal wa Bot Institute pale Kapripoint Mwanza!
Wasiwasi wa Mkweche ni Mmoja kwake!Uzoefu unaonyesha wasomi wengi siasa zinawashinda kwani hawana ujanja wa kuchanganya siasa na taluuma!Mh Kastaafu utumishi wa Umma 2010 na kuingia mjengoni!Kazi anayo
mwa mkwechw
Hahaa..!! Elimu yake ni ndogo sana Mkuu..!! Hapo tuombe mungu uzoefu wake wa vijikazi vyake alivyofanya Tanzania ndio utasaidia. Vinginevyo hana lolote la kuiingiza Tanzania katika mchaka mchaka wa kimbizo la kiuchumi duniani. Elimu tunazosomea Tanzania ni kwa ajili ya shughuli za mimi na wewe na si kwa muunganiko wa kidunia ambao kwa wizara nyeti kama ya Fedha inahitaji ukamili. Endelea kuota tu..!!