Ni nani Dr. William Mgimwa?

Nimwadilifu kwakweli kabisa ila sifahamu kama ni Dr wa binadamu na mifugo au wa kupewa kama wenzetu fulani.
 
huyu jamaa hamna kitu, tunaletewa msomi wa IFM diploma alafu tunaambiwa doctor...uchaguzi huu umezingatia nini lakini? sijui, labda tuone delivery yake itakavyokuwa.
 
Huu ndio ugonjwa wa WaTz wengi, CV za kutambiana bila ya ufanisi ni bure. Mabishano na kejeli kwa Dr Mgimwa yanaonyesha kukata tamaa na kujihisi unyonge kwa mafanikio wanayostahili watu wengine. Binafsi sina shaka na Dr Mgimwa hata kama mtasema si Dr kwani haringii huo U-DR. CV inakupa mwanga mdogo sana wa kumjua mtu na uwezo wake. Nafikiri sasa tujikite kwenye eneo jingine zaidi ya CV kujua uwezo wa watu na sio CV zenye vyeti vya kughushi, kufaulu mitihani iliyovuja na rushwa kwa walimu kupata upendeleo.
Dr. Mgimwa Hongera, endeleza uadilifu kutuokoa wananchi na uchumi mbovu, na nakutakia kila la kheri kwenye nafasi hiyo ya kutoa mchango wako katika taifa
 
Mgimwa ni kiazi!
Watch this space mwaka mmoja baadae!!
I tell you me.
Inaelekea wateule wa jeykey wana vitu adimu,maana mara naona watu wanasema James Mba(tusi/neno kali) ni kilimo kwanza bin punga,mara huyu nae anasema kiazi, basi mimi huku kambare,waambie waje kuchukua vichwa!!!
 
Hata kama sijaona Ph.D yake nimemkubali kwa publications (i.e., kama hizo publication 14 zote ni peer-reviewed anastahili kupewa Ph.D.).:hat:
 
Mbunge%2Bwa%2Bjimbo%2Bla%2BKalenga%2Bmkoani%2BIringa%2BDr.Wiliam%2BMgimwa%2Bakiandika%2Bhundi%2Byenye%2Bthamani%2Bya%2BTsh.Milioni%2B1%2Bkwa%2Bajili%2Bya%2Bkuchan.jpg


Huyu ndiye anayechukua ikoba ya Mkulo, je ataweza kusawazisha haraka na kuziba matundu yaliyotoboka toka kwenye mfuko wa hazina serikalini?


Tanzania Corruption Tracker System


Zitto alishamweka kati Mkullo siku nyingi lakini Takukuru bado wamelala usingizi wa pono
Should Finance Minister Mkullo resign over CHC corruption?

10th November, 2011
Measures taken by Tanzania’s Finance Minister Mr. Mustafa Mkullo to dissolve the board of directors and dismiss the Director General of Consolidated Holding Corporation-CHC, has raised a number of questions on whether Mkullo’s move was a cover up for something dubiously big at CHC.
Mr Mkullo’s move especially at a time when investigations were still taking place into allegation of corruption and abuse of office within the company raised a red flag that the Ministers move may have been ill intended. There are ongoing investigation whether the members of the Parliamentary Parastatal Organizations Committee (POAC) were bribed.
It should be remembered that this year (2011) the minister Mr. Mkullo accused the Chairman of POAC, Zitto Kabwe in the parliamentary budget session that he was bribed by the management so that they could lobby for CHC's tenure extension. (Read more on our previous article: Kudos for 2011/12 parliamentary budget session in fighting graft).

The allegations by the minister, created a tense motion that was strongly opposed by POAC Chair Hon Zitto Kabwe who requested an investigation by the CAG to be conducted to determine whether himself or any member of the committee was bribed to defend CHCs continued existence. "Mr. Chairman, first I ask the Minister for Finance (Mkullo) to prepare terms of reference that will be used in the investigation of the Tsh60 mln he claimed was offered as bribe to the members of committee.”
"But secondly I ask the Minister of State in the President's Office (Good Governance) to instruct the Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB) to carry out an official investigation on the matter. And this inquiry should be open and be announced publicly," said Kabwe.
"Should the investigations reveal that I was bribed or any member of my committee received any bribe or enticement whatsoever not only shall I resign my position as POAC chairman but I will also resign my position a Member of Parliament, said Kabwe.
"But Madam Speaker, I also demand that should the Ministers allegations be found false, he should resign his position as Minister of Finance", Mr Kabwe added.
Before the investigations were concluded, the Minister unilaterally dissolved the board of directors of CHC and terminated the tenure of its Director General.
Investigations are still ongoing and there is no any further information that has been made public yet, the Ministers move could jeopardize the whole investigation process.
Reacting to the move, Hon Zitto Kabwe, chairman of (POAC) made ​​his stand on Mkullo’s decision through a press meeting on, October 13, 2011 said his offer to the Minister still stood and the minister's move was premature and questinable.
“In his audit the Controller and Auditor General (CAG) via Ernest and Young Company requested to conduct an interview with the Minister for Finance on various alleged encounters in the CHC which declined. Mkulo refused to speak to the inspectors and instead wrote a letter (REF: TYC/B/70/2/03 of October 8, 2011) that responded to the accusations against him that he ordered the sale of the land without following the proper procedures of law." read part of the press release issued by Zitto Kabwe.
Hon Zitto who also doubles as Shadow Minister for Finance, indicated in his statement that despite the fact that Mkullo denied selling the plot to someone he knew. Mr Kabwe said he was in possession of evidence in the form of documents from the Treasury which indicated that Mr Mkullo was an accomplice to a corrupt and illegal sale of CHC property. As an example Mr Zitto cited a letter TYC/A/290 / 13 / 4 of 9 March 2011 which directed CHC to implement the inquiry of the Minister for Finance concerning plot No. 10 along Nyerere Road and a meeting held at Morogoro Hotel between the Minister for Finance and Chairman of the Board of CHC.”
Two days after a reply was sent to the CAG, Finance Minister Mustafa Mkulo decided to undo his decision to extend the Board of CHC's tenure until the end of December 2011. This decision might have aimed at hiding the truth, because without CHC's Board of Directors, the Treasury takes control and audits reports which must be taken to the Treasury, who head is the Minister for Finance who in this case is the suspect, Hon Zitto said.
The Ministers action to order the suspension from work of the Director General will jeopardise the effectiveness of the ongoing investigations by the CAG. The findings of these investigations should be submitted to the Speaker of Parliament for further action, after all this is where the whole saga began in the first place.
Mkullo when interviewed said that Kabwe’s arguments did not have any ground and lack vivid truth and may be Kabwe had personal grudges with the minister.
In discussing the context of the ongoing investigation, "I think Mr Kabwe has not well understood the context of this investigation.... it is the Prime Minister (Mizengo Pinda) who ordered an investigation to be conducted. I directed the board to ensure that the investigations are conducted according to the instructions of the Prime Minister. Now how can someone say I will affect the outcome of the report that will be tabled?” Questioned, Mkullo.
 
namfahamu vizuri sana mzee huyo kwa kweli akiingia na afanye kazi na usimamizi bila shinikizo la mtu ni mzee mzuri,mtendaji,na mnyenyekevu lakini wakiingiaga serikalini wanakuaga kama wamelogwaaaa,all the best mzeee
 
Ndugu MKWECHE ,

Sisi tunajadili CV yake ambayo kaiandika mwenyewe na kuiweka kwenye public domain. Wewe unajadili nini?

Halafu unapojaribu kutushuka kitalaama na ki-uzoefu, unatumia kigezo gani? Au unataka tukuwekee CV zetu ndiyo ukubali kwamba tuna haki ya kujadili CV ya mwalimu wako?
Hata kama CV ipo kwenye Public Domain lakini makosa ya Kiuandishi yanatokeaga pia!Tofauti yangu mimi mkweche na wewe Dr city katika ili ni kwamba,wewe unajiridhisha na maandishi wakati mimi mkweche namfahamu huyu bwana toka anafundisha Chuo cha Bank na hata harakati zake za kisiasa na Ki elimu!Hata ukitaka kujiridhisha juu ya elimu na utendaji wake nenda pale BoT watakueleza!
Hata hizo Publication zilichapwa Dar,zinakasoro,kuna ambazo zilitoka kwenye International Journals na hata nakala zake mie nilizisoma!Manake mie Mkweche sasa hivi nafanya Literature Review,so nasoma machapisho ya madaktari mbalimbali hasa naowafahamu!
So kama wewe CV yako imesimama na si toka Kizazi cha MIGI na MADESA nitakukubali,lakini kama ni wa hiki kizazi cha madesa hakuna kitu!POLE
 
tatizo wengine mnaoandika 'nyuzi' za jf ni kizazi cha 'migi'!kazi yenu kubwa ni kushadadia elimu za watu na kuwasifu wenye gpa kubwa wakati zenu za kichina!mnajidai mnajua majambo lakini hamjui,na hamjui kama mhajui!mkweche nafunguka!
Chuo cha nbc ni kile chuo ambacho enzi zetu(za mwalimu) kiliitwa chuo cha benki(amon nsekela) kipo hapa iringa na kwa sasa ndio ruaha unuversity aka ruco
huyu mzee ni jembe na amebobea katika fani ya benki na fedha.si kwa kusomea tu bali kazeekea kwenye kazi maswala hayo.taaluma ya fedha kazama nayo darasani kusoma,kuifundisha na kufanyakazi!orodha ya machapisho aliyochapisha mzee mgimwa mwanataaluma legelege au wa migi hawazi kuandika! Namfahamu dr mgimwa,ni mbunge wangu wa jimbo la kalenga na phd alipata mwaka 2000 ni ya kwenda shule na alifanya by thesis!
Mie mkweche nilipokuwa nasoma uzamili pale mu,niliwahi kusoma hata andiko lake la mba lilikuwa ni kali!mzee kaiva,msiomfahamu acheni mzengwe!
Kisiasa hajawahi shika nafasi kubwa ila katika maswala ya fedha ndio jembe!kastaafu kazi bot,akiwa principal wa bot institute pale kapripoint mwanza!
Wasiwasi wa mkweche ni mmoja kwake!uzoefu unaonyesha wasomi wengi siasa zinawashinda kwani hawana ujanja wa kuchanganya siasa na taluuma!mh kastaafu utumishi wa umma 2010 na kuingia mjengoni!kazi anayo
mwa mkwechw
Aive hadi aungulie kwenye hiyo mikaratasi tunachotaka maisha bora kwa kila mdanganyika.....kwisha hatushindanishi degree hapa....kwanza walizipata enzi za chama hawana sapu wala disco.
 
Hivi kumbe kuna chuo cha NBC...(The National Bank of Commerce (NBC) - College). Kiko WAPI?

Majengo yatakuwa wamesha gawana wajanja wa nchi hii hivi una habari soko la mitumba Tandale nalo limeuzwa kwa mtu binafsi
 
Dr, Dk!!!!!!!!!! MBA Finance. Mbona Mzumbe inatumika vibaya? Wanasiasa wengi waliopitia pale wana kasoro kasoro kwenye PhD zao.
 
wakati anachangia ripoti ya kamaza bunge alionesha ni mtu wa takwimu sana kiasi ambacho nahisi wengi hawakuelewa asemacho.kila la heri mzee.
 
Wewe Mwanamasala ndio Big Joke... Tatizo mkishapata vidigrii vyenu mnajifanya mnajua kila kitu. Hebu angalia publications alizofanya hapo then niambie kama hazitoshi kumpatia PhD kama alikuwa anatafuta!? PhD is all about publications we ****, sio kutudharau watanzania kuwa vile tu kuna wapuuzi wachache


Ndugu yangu ,

Hebu acha utani na mambo ya taaluma. Kama huyajui basi kaa kimya. Naomba unioneshe moja kati hizo unazoita publications za huyu boss inayo-qualify kuitwa publicaton!!

Halafu hebu jaribu ku-google uone unapata nini!!

https://www.google.co.tz/webhp?sour....,cf.osb&fp=89f566654526bacd&biw=1280&bih=630
 
Mpenda Tz kwani umeambiwa PHD kaipatia mzumbe!
Si msome ata CV umewekewa apo juu bado unaleta hoja fake APA jamani khaa.
Kweli Watz wengi ni wavivu wa kusoma
 
Jamani msifumbie macho ukweli. Pale panapostahili kuliita hili ni parachichi basi tuliite parachichi. Kwa mujibu wa CV yake kitaaluma ameenea, hivyo tumtwike huu wajibu.

  1. Atatusaidia mbinu za kitaalam na kifedha za kuthibiti mfumuko huu mfumuko wa bei (inflation).
  2. Atajenga nidhamu katika usimamizi wa budget ya serikali.
  3. ataangalia upya mfumo mzima wa misamaha ya kodi. Kwa sasa umesimama kwenye asilimia 20, hii siyo sawa haswa kwa nchi kama ya kwetu ambayo bado tunawanafunzi wanakaa chini hawana madawati. Wenzetu Kenya na Uganda wapo kwenye asilimia siyo zaidi ya 2.
  4. Atasaidia kuwa na mikakati ya kisera ya kukuza unchumi na kupungu umaskini katika hili taifa letu ambalo halina sababu za msingi za kulifanya maskini.
 
Sina hakika kilipokuwa, ila kulikuwa na chuo cha namna hiyo wakati wa mfumo hodhi wa dola!!


Ila nimefurahishwa na CV ya Boss ambaye anaonesha publications zake zote zimekuwa-published Dar....!!
NA HIYO FURAHA YAKO NDO INANISHANGAZA MAANA INANIFANYA NIAMINI KWAMBA WEWE SIO MSOMI. The guy does not even have a single international publication. Ni vikaratasi tu ambavyo washikaji wanaandikiana hapo udsm and then vinapita as publications! Hata ukiangalia vizuri havijulikani hivyo vi-artticle vyake vilichanpishwa kwenye jarida la hadhi gani ! Angalia namna vilivyo wakilishwa hapa! Academic publications huwa haziwasilishwi hivo! Hakuna jina la journal lililo-publish hizo article, hakuna mwaka, huwezi kujua kama ni vitabu au articles au chapters kwenye vitabu, etc...! In other words, ni FULL MA UJANJA! Unatupatia tu majina ya vi-title halafu unataegemea sisi watu wazima na akili zetu tuamini kwamba huyu ni mtalaam. Acheni USHA HABIKI WA KIJINGA! NI USHAHABUKIU KAMA HUO AMBAO UNAIMALIZA INCHI!. ASANTE.


Mkuu Mtandu,

Hebu jifunze kusoma kwa kutulia kwanza kabla ya kuandika kitu.

Baaada ya kusema hayo, naomba urudie kusoma tena post yangu na ufuatilie michango yangu yote.

Naaamini kwamba utakuja kugundua kuwa ama kweli mimi nmi mjinga na mwenye ushabiki wa kipuuzi au wewe ndiye!!
 
Dalili mojawapo ya uadilifu ni kutokujipa sifa ambazo hustahili. Sasa huyu kilaza na diploma zake za IFM na Mzumbe pamoja na hizo repoti ambazo yeye na vilaza wenzake wa vyuo vya kata wanadai ni publications anajiita Dr.
Huyu tayari ameshaonekana ni fisadi wa elimu, mnategemea nn toka kwake..ni wale wale kama mafisadi wa elimu wenzake kina Kamala, Nchimbi, Nagu, na wengineo.
 
Back
Top Bottom