Ni nani atakuwa Waziri Mkuu Mpya!

Ni nani atakuwa Waziri Mkuu Mpya!

Status
Not open for further replies.
Waziri Mkuu - Tundu Lissu
Mambo ya ndani - Gobless Lema
Kuna kila dalili ya serikali ya JK kuangushwa bungeni!

Je ni nani tutarajie anakubalika na wabunge kuwa Waziri Mkuu mpya?
 
i agree Lusinde, maaana hawana mwingine... wameshikwa pabaya...
 
Sioni wa kuhtubutu kuiokoa Tanzania kwa hapa ilipofikia hata huyo Agrey ni kubwatuka tu mbona kaaibishwa na ZITTO leo.
 
Mzee wa Gombe anafaa lisura lake linafanana kidogo na huyu mwenye matuta kama ya viazi usoni
 
Hivi magufuri john pombe yuko wapi??? Ni kweli amepata stroke na yuko hospitalini????

Naomba kujuwa kwa sasa niko nje ya tanzania - kikazi
 
wakati mwl nyerere ni rais wa tanznai huyu pinda tulikuwa nae pale ikulu...siku moja mzee (mwl) alimwita pinda '' a royal intellingent officer'' mwalimu alimuona ni mwaminifu sana. lakini baada ya kupewa cheo cha uwaziri mkuu amekuwa butu na hana makali
 
achoweza kusema ni kwamba wanancha andae shahada za kupigia kura maana mda si mrefu tanznai kutakuwa na uchaguzi mkuu.. sio ule wa 2015.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom