Ni nani atakuwa Waziri Mkuu Mpya!

it will not happen..... not in Tanzania, labda Kenya!~!!

Watanzania ni waoga kama kuku:wink1:
 
ishu ni vp fedha za wanyonge zinatumika! inauma sana. bravo kwako zito na kamati zote 3 kwa kazi zao.
 
Tupunguze hisia wakuu, mbona tunakuwa kama hatuijui nchi yetu!?
Kinachoendelea dodoma ni igizo la wabunge wa ccm kutaka kuwahadaa wananchi wajinga ili waone bado ccm ni chama chao na kwamba wabunge wa ccm pia wanajua kubwata!
Hamna wa kuangusha serikali pale, tunachokitaka toka kwa wabunge wa ccm ni kikubwa kuliko uwezo wao wa kutenda kwa mazoea!
Sisi tulioelevuka japo kidogo tukianza kulewa hisia utafikiri kinachotokea bungeni ni kipya sana ndo tutawayumbisha masikini wengine kuona uh kumbe hata wabunge wa ccm wanafanya kazi wakati hamna chochote walichofanya mpaka sasa.
Tuwaangalie mwisho wao kwanza

Umesema kweli. Ukombozi wa nchi hauwezi kutoka ndani ya CCM. Hizi kelele ndani ya Magamba ni danganya toto ili watu wasahau na kuendelea kuishi kwa kutumaini kuwa sasa maisha yataboreka.
 
Tupunguze hisia wakuu, mbona tunakuwa kama hatuijui nchi yetu!?
Kinachoendelea dodoma ni igizo la wabunge wa ccm kutaka kuwahadaa wananchi wajinga ili waone bado ccm ni chama chao na kwamba wabunge wa ccm pia wanajua kubwata!
Hamna wa kuangusha serikali pale, tunachokitaka toka kwa wabunge wa ccm ni kikubwa kuliko uwezo wao wa kutenda kwa mazoea!
Sisi tulioelevuka japo kidogo tukianza kulewa hisia utafikiri kinachotokea bungeni ni kipya sana ndo tutawayumbisha masikini wengine kuona uh kumbe hata wabunge wa ccm wanafanya kazi wakati hamna chochote walichofanya mpaka sasa.
Tuwaangalie mwisho wao kwanza

kama ni kuwahadaa wananchi,basi mwisho wake itawagharimu CCM

kama zoezi hili lakumuondoa pinda litashindikana iwe kwa sababu yoyote ile

wananchi wataitafsiri ni wabunge wa ccm na chama chao kwa ujumla
wameshindwa kuisimamia serikali na hata kumng'oa waziri mkuu
 
Bora arudi Lowasa kuliko Mizengo Pinda ambaye hana say..yeye ni mzee wa mchakato.
 
Kitu cha msingi kinachotakiwa ni Sisiemu kuwa chama cha upinzani bila kujari nani atakuwa rahisi ama wadhiri mkuu.

Bila mabadiriko hakuana jipya litatokea hap kwa wadanganyika.
 
Back
Top Bottom