Ni nani atakuwa Waziri Mkuu Mpya!

Ni nani atakuwa Waziri Mkuu Mpya!

Lowasa sijui anamtazamo gani ktk hii ishu?

hata umpe Sitta na Nape mamlaka ya kuteua W/Mkuu, hawatakuwa na mpya
 
Hivi kwa Katiba ya sasa hairuhusu kuteua kutoka upinzani-nakumbuka Jussa aliteuliwa ubunge bac si wamchague Zito Kabwe! The guy is so competent jamani na anaonyesha ana uchungu wa kweli wa Taifa hili
 
whatever the case, ccm lazima tuwashinikize wawajibishane katika maovu waliyofanya kabla hata ya 2015, watu wakamatwe wafunguliwe mashtaka, mali zao zitaifishwe pesa zirudishwe, ...Pinda akiondoka wataweka pozi na kujidai wamefanya jambo kubwa kujisahihisha huku wakiendelea na ulaji tena kwa mtindo wa chukua chako mapema.

Hii nchi ilivyo kwa sasa hata wakipewa cdm watakuwa na kazi nzito saaana, maana kila kona imejaa uvundo na uozo. cdm ikiingia madarakani inatakiwa ku anza kujenga nchi sio kupoteza muda kwa kusafisha uchafu wa ccm, ccm please clean your own mess ili wengine watakapoingia wafanye kazi yao kwa urahisi zaidi.
 
Hakuna anayefaa. Rais alivunje Bunge na aitishe uchaguzi mkuu mapema

Wewe watoka arumeru east, kwa jina unaitwa sioi, unamuonea donge joshua nasari, yani hajalamba kamshahara ka mwezi! arudi kwenye uchaguzi!!!!!
 
Dodoma sasa ni moto! Serikali inahaha huku na huku kuokoa jahazi. Mpasuko ndani ya wabunge wa CCM ni dhahiri!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom