Ramadhan Kimbeiye
Senior Member
- Aug 28, 2013
- 114
- 50
Ni kweli kabisa Lowasa ni rais wa watu wenye akili za kinyumbu kama wewe!Lowasa ndo rais ndo maana hawaishi kumsema.

Kwa akili yako ndogo unamlinganisha Lowasa na nani katika nchi hii!!! Acha u nyumbu. Eti akachunge ng'ombe!! And politically finished!! Acha upuuzi huu!! Usiandike kitu usichokijua. Acha kabisa.Dunia inatambua Lowassa ana utajiri wa kifikra kuhusu njia ya kuwa fisadi nchini Tanzania. Kinachoendelea kwa sasa kinadhihirisha Lowassa anahitaji huruma za kisiasa kutokana na mwenendo wake kisiasa. Anahitaji sana ushauri usio wa kinafiki kuhusu hatima yake kisiasa nchini.
Nilivyomsikia kwa mara ya kwanza akitoa madai kuwa ukimya wake baada ya Uchaguzi Mkuu umesababisha kuwepo amani nchini, nilidhani kinachomsumbua ni mihemko ya kisiasa.
Nilipomsikia pia kwa mara ya pili akitamka maneno hayo Mkoani Arusha wakati akishiriki katika kampeni za Uchaguzi wa Jimbo la Arusha ambao uliahirishwa katika siku ya Uchaguzi Mkuu baada ya kifo cha mgombea wa ACT-wazalendo Estomih Mallah sikushangaa sana.
Kilichonishangaza zaidi ni pale nilipomuona tena kwa mara ya tatu ndani ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri, Usharika wa Monduli akisema kunyamaza kwake baada ya wananchi kupiga kura kwenye Uchaguzi Mkuu 2015 kumewafanya wananchi wasiuane. Eti anadai wananchi walikuwa wanasubiri neno lake ili waingie barabarani na kuanza kuuana.
Lowassa anataka kutuambia watanzania wengi ni kama nyumbu kwamba kila atakalolisema watalifuata au kulitenda. Anataka kutuambia watanzania wengi wanafanya mambo yao kwa kutegemea kauli zake. Anadhani yale aliyokuwa anayaita mahaba kwenye mikutano yake ni unyumbu.
Hawa watu wanaomshauri Lowassa waache kumdanganya. Kuna baadhi ya watu wanamjaza ujinga ili adhani ana hekima na busara zaidi ya Watanzania wengi.
Lowassa na wapambe wake hawafahamu kama watanzania wengi wana haiba ya kutopenda vurugu. Hafahamu kama kuna chaguzi kuu nne zimefanyika na Tanzania imeendelea kuwa nchi ya amani na kuheshimiana. Hafahamu utawala wa machifu uliokuwa na nguvu kubwa (powerful influence)katika jamii nchini ulipigwa marufuku na Tanzania ikaendelea kuwa na amani na kuheshimiana. Hafahamu tuna makabila zaidi ya 120 yenye imani za kidini tofauti lakini yanaishi katika msingi wa kuheshimiana na undugu.
Lowassa na wapambe wake wangetafuta kwanza uzoefu kuhusu haiba ya Watanzania kutoka wapinzani ambao wamekuwa katika uwanja wa upinzani kabla yeye hajawaza/kufikiria kama kuna siku atakuja kuwa mpinzani wa serikali ya CCM.
Kinachoonekana kwa sasa Lowassa yuko katika safari ya kisiasa ambayo Augustino Mrema amepitia! Lowassa has gone from hero to zero! As a politician, he is finished. There is no way back for him.
Ni nani anamshauri Edward Lowassa? Mwacheni akachunge ng'ombe wake Monduli!
Kwani Lowasa akikugeged wewe na mk!!!eo huwa unamtaja kutwa?Lowasa atakuwa alikugeged we na mk!!!eo maana kutwa kumtaja laigwanan
Mpuuzi ni yule anayedhani amani ya Tanzania alikuwa ameishikilia kwenye mdomo wake!
Mpuuzi ni yule anayedhani Watanzania wengi ni kama manyumbu!
"Uchaguzi wa Mwaka Jana , CCM tulishindana Wenyewe kwa Wenyewe , Kwa Maana Upinzani umekufa na tukabaki wenyewe tu , Waliokuwa Upande wa Pili woote Wazawa wa CCM "
Mbunge Msukuma
Star TV LIVE
Mimi ninaongelea Watanzania, wewe unaanza kuleta mifano ya mataifa mengine.Eti "watanzania wanahulka ya kupenda amani", aisee nimechoka kabisa na statement yako hii!!
Wewe unadhani wasomalia, wanaijeria, wanyarwanda, warundi, wakenya, wasyria, wamisri au wengine wote waliochoka na manyanyaso na ukandamizaji wa wenye madaraka hawana au hawakuwahi kuwa na hulka ya kuipenda amani!!??
Please, give me a break!!
Yeah, Siyo kosa kuota ndoto za alinacha.Ipo siku huu uhuni mnaofanya dhidi ya maamuzi halali ya wananchi kupitia sanduku la kura yatafikia mwisho kwa watu kusema enough is enough!!
Zanzibar kuna amani kwa sababu wananchi wengi wameamua kuishi kwa amani. Hakuna kiongozi yoyote aliyeshikilia amani ya Zanzibar.Hebu angalia kinachoendelea Zanzibar ni uhuni mtupu. Kama sio busara za wapinzani wenu ktk chaguzi hizi, wananchi hawa mnaowaona kama wajinga vile ni sawa na nyasi kavu ktk nyika ambazo njiti moja tu ya kiberiti inaweza kuwasha moto ambao hakuna atakayeweza kuuzima!!
Mambo ya busara unayafahamu wewe lakini ninachosema, Lowassa kusema amani ya Tanzania alikuwa ameitunza kwenye mdomo wake ni kuwafanya watanzania wengi kama nyumbu.Mimi nakubali kabisa busara za opponents wa Magufuli kina Edward Lowassa na Seif Shariff Hamad na wengineo ndiyo maana leo unajitutumua kuandika upuuzi kama huu hapa
Mbowe anaendelea kumkamua huyu Mzee!Atakuwa Mbowe tu !!!
Kwani Lowasa akikugeged wewe na mk!!!eo huwa unamtaja kutwa?
Wakina nani walikuwa wanasema maneno hayo?Na wale waliokua wanasema ccm imeleta amani msichague wapinzan wataleta vita nae ni mtu gani?
Concerntrate na mambo yakoWakina nani walikuwa wanasema maneno hayo?
Je, maneno yao yalikuwabaliwa na wale walikuwa wanawaambia waichague CCM?
Hata shetani ni shidaah. Shetani anajadiliwa sana kwenye makanisa na misikiti!
Hiyo nyota ya shetani ni hatari!
Kinachoonekana kwa sasa Lowassa yuko katika safari ya kisiasa ambayo Augustino Mrema amepitia! Lowassa has gone from hero to zero! As a politician, he is finished. There is no way back for him.
Ni nani anamshauri Edward Lowassa? Mwacheni akachunge ng'ombe wake Monduli!
Wewe ni zaidi ya nyumbu tena nyumbu kipofuDunia inatambua Lowassa ana utajiri wa kifikra kuhusu njia ya kuwa fisadi nchini Tanzania. Kinachoendelea kwa sasa kinadhihirisha Lowassa anahitaji huruma za kisiasa kutokana na mwenendo wake kisiasa. Anahitaji sana ushauri usio wa kinafiki kuhusu hatima yake kisiasa nchini.
Nilivyomsikia kwa mara ya kwanza akitoa madai kuwa ukimya wake baada ya Uchaguzi Mkuu umesababisha kuwepo amani nchini, nilidhani kinachomsumbua ni mihemko ya kisiasa.
Nilipomsikia pia kwa mara ya pili akitamka maneno hayo Mkoani Arusha wakati akishiriki katika kampeni za Uchaguzi wa Jimbo la Arusha ambao uliahirishwa katika siku ya Uchaguzi Mkuu baada ya kifo cha mgombea wa ACT-wazalendo Estomih Mallah sikushangaa sana.
Kilichonishangaza zaidi ni pale nilipomuona tena kwa mara ya tatu ndani ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri, Usharika wa Monduli akisema kunyamaza kwake baada ya wananchi kupiga kura kwenye Uchaguzi Mkuu 2015 kumewafanya wananchi wasiuane. Eti anadai wananchi walikuwa wanasubiri neno lake ili waingie barabarani na kuanza kuuana.
Lowassa anataka kutuambia watanzania wengi ni kama nyumbu kwamba kila atakalolisema watalifuata au kulitenda. Anataka kutuambia watanzania wengi wanafanya mambo yao kwa kutegemea kauli zake. Anadhani yale aliyokuwa anayaita mahaba kwenye mikutano yake ni unyumbu.
Hawa watu wanaomshauri Lowassa waache kumdanganya. Kuna baadhi ya watu wanamjaza ujinga ili adhani ana hekima na busara zaidi ya Watanzania wengi.
Lowassa na wapambe wake hawafahamu kama watanzania wengi wana haiba ya kutopenda vurugu. Hafahamu kama kuna chaguzi kuu nne zimefanyika na Tanzania imeendelea kuwa nchi ya amani na kuheshimiana. Hafahamu utawala wa machifu uliokuwa na nguvu kubwa (powerful influence)katika jamii nchini ulipigwa marufuku na Tanzania ikaendelea kuwa na amani na kuheshimiana. Hafahamu tuna makabila zaidi ya 120 yenye imani za kidini tofauti lakini yanaishi katika msingi wa kuheshimiana na undugu.
Lowassa na wapambe wake wangetafuta kwanza uzoefu kuhusu haiba ya Watanzania kutoka wapinzani ambao wamekuwa katika uwanja wa upinzani kabla yeye hajawaza/kufikiria kama kuna siku atakuja kuwa mpinzani wa serikali ya CCM.
Kinachoonekana kwa sasa Lowassa yuko katika safari ya kisiasa ambayo Augustino Mrema amepitia! Lowassa has gone from hero to zero! As a politician, he is finished. There is no way back for him.
Ni nani anamshauri Edward Lowassa? Mwacheni akachunge ng'ombe wake Monduli!
Lumumba mliko jazana kama sisimizi kwenye mfuko wa sukaliWapi?
Mkuu huyo unaye mjibu ni nyumbu lipo hapo linafuata upepo tuUliza duniani kote nini maana ya wafuasi halafu ukipata jibu utagundua.Wafuasi siku zote huwa wanasikiliza kiongozi wao anasema nini na ukiangalia hata kwenye history uprising zote zilitokea hivyo
Mwenye na ukoo wako wa panya maana nafsi zinawasuta kwa wizi mlioufanyaFrustration
Lowasa ndiye rais kipenzi cha watanzaniaAcha uongo...