Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,473
- 13,629
Nahisi kwamba mzee wa monduli ana kiburi sana, na kwa bahati mbaya kinamponza kwani kinamfanya ajiamini na kuwajengea matumaini hewa wale wanaomzunguka. Huyu amiri jeshi mkuu wa sasa hawezi na hapendi kupelekeshwa, ni bora mzee wa monduli akautambua ukweli huo, huyu wa sasa sio yule wa awamu ya nne ambaye alimheshimu na kumchekea kwa sababu hawakukutana barabarani (uhusiano wa miaka mingi). Awamu ya tano haitokubali gestures za dharau hata kidogo, ukileta ukauzu unakutana na ukauzu times ten. Huu ni wakati wa waliokaribu na mgombea wa UKAWA kumshauri ili image yake isije kupoteza heshima.