Ni nani anayemdanganya Edward Lowassa?

Ni nani anayemdanganya Edward Lowassa?

"Uchaguzi wa Mwaka Jana , CCM tulishindana Wenyewe kwa Wenyewe , Kwa Maana Upinzani umekufa na tukabaki wenyewe tu , Waliokuwa Upande wa Pili woote Wazawa wa CCM "

Mbunge Msukuma
Star TV LIVE
Prof. Lipumba ameishaainisha katika thread hii,
Wakati akiongea kupitia AzamTwo Television, Prof. Lipumba amesikika akisema, CHADEMA kimepoteza dira ya kisiasa kutokana na mtafaruku uliojitokeza ndani ya UKAWA baada ya kumpokea Lowassa na kumfanya mgombea Urais wa Tanzania.

Prof. Lipumba amesema, ''Sisi ndani ya CUF tunaweza kukijenga vizuri chama chetu kwa sababu msingi wetu ni kusimamia haki kwa wote lakini wenzetu wa CHADEMA wamepoteza dira kwa sababu itakuwa ni vigumu kuzungumzia suala la mapambano dhidi ya ufisadi''.
 
Huyu Mbunge Msukuma anatokea jimbo la Geita kama sijakosea.Jimbo la Geita ndilo ambalo mgombea wa CHADEMA Marehemu Mawazo(rip) aligombea na baadae kuuawa kinyama!

Msukuma ashukru kuwa Serikali ya CCM inaongozwa kidikteta.Huyu jamaa alitakiwa kwa sasa awe ananyea ndoo pale gereza la Butimba! Hapana shaka nyuma ya mauaji ya Mawazo mbunge huyu fake anahusika kwa asilimia 100!
Msukuma anajua alishinda kwa hila na alijua kuwa pasi na kuondoa uhai wa Mawazo huo Ubunge wake usingedumu maana kitendo cha Mawazo kutinga Mahakamani ndiyo ungelikuwa mwisho wa ubunge wa Msukuma!

Huu ni ukweli mchungu ambao Msukuma,Magufuli na CCM wanalijua hilo!
Hoja yako inakosa msingi wa hoja (locus standi).

Alphonce Mawazo alikuwa mgombea Ubunge Jimbo la Busanda wakati Joseph Msukuma aligombea ubunge wa CCM katika jimbo la Geita vijijini.
 
Dunia inatambua Lowassa ana utajiri wa kifikra kuhusu njia ya kuwa fisadi nchini Tanzania. Kinachoendelea kwa sasa kinadhihirisha Lowassa anahitaji huruma za kisiasa kutokana na mwenendo wake kisiasa. Anahitaji sana ushauri usio wa kinafiki kuhusu hatima yake kisiasa nchini.

Nilivyomsikia kwa mara ya kwanza akitoa madai kuwa ukimya wake baada ya Uchaguzi Mkuu umesababisha kuwepo amani nchini, nilidhani kinachomsumbua ni mihemko ya kisiasa.

Nilipomsikia pia kwa mara ya pili akitamka maneno hayo Mkoani Arusha wakati akishiriki katika kampeni za Uchaguzi wa Jimbo la Arusha ambao uliahirishwa katika siku ya Uchaguzi Mkuu baada ya kifo cha mgombea wa ACT-wazalendo Estomih Mallah sikushangaa sana.

Kilichonishangaza zaidi ni pale nilipomuona tena kwa mara ya tatu ndani ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri, Usharika wa Monduli akisema kunyamaza kwake baada ya wananchi kupiga kura kwenye Uchaguzi Mkuu 2015 kumewafanya wananchi wasiuane. Eti anadai wananchi walikuwa wanasubiri neno lake ili waingie barabarani na kuanza kuuana.

Lowassa anataka kutuambia watanzania wengi ni kama nyumbu kwamba kila atakalolisema watalifuata au kulitenda. Anataka kutuambia watanzania wengi wanafanya mambo yao kwa kutegemea kauli zake. Anadhani yale aliyokuwa anayaita mahaba kwenye mikutano yake ni unyumbu.

Hawa watu wanaomshauri Lowassa waache kumdanganya. Kuna baadhi ya watu wanamjaza ujinga ili adhani ana hekima na busara zaidi ya Watanzania wengi.

Lowassa na wapambe wake hawafahamu kama watanzania wengi wana haiba ya kutopenda vurugu. Hafahamu kama kuna chaguzi kuu nne zimefanyika na Tanzania imeendelea kuwa nchi ya amani na kuheshimiana. Hafahamu utawala wa machifu uliokuwa na nguvu kubwa (powerful influence)katika jamii nchini ulipigwa marufuku na Tanzania ikaendelea kuwa na amani na kuheshimiana. Hafahamu tuna makabila zaidi ya 120 yenye imani za kidini tofauti lakini yanaishi katika msingi wa kuheshimiana na undugu.

Lowassa anataka kutufanya wajinga kama hatufahamu kuwa kitendo cha kuita waandishi wa habari na kujitangaza mshindi wa Urais halafu akaitaka NEC imtangaze ilikuwa ni dhamira ya ku-instigate violent lakini wananchi wengi walimpuuza.

Lowassa na wapambe wake wangetafuta kwanza uzoefu kuhusu haiba ya Watanzania kutoka wapinzani ambao wamekuwa katika uwanja wa upinzani kabla yeye hajawaza/kufikiria kama kuna siku atakuja kuwa mpinzani wa serikali ya CCM.

Kinachoonekana kwa sasa Lowassa yuko katika safari ya kisiasa ambayo Augustino Mrema amepitia! Lowassa has gone from hero to zero! As a politician, he is finished. There is no way back for him.

Ni nani anamshauri Edward Lowassa? Mwacheni akachunge ng'ombe wake Monduli!
wewe kenge maji usiongee kama unapumuliwa kisogoni!
 
Yaweekana huyu ni Shetani kweli, katupotezea watu muhimu sana, Tumempoteza ,Kingunge Ngombale Mwiru, William Mngeja, Makongoro Mahanga, R Mwasha, Frola Mbasha, Woper, Kamtoa kwenye mstari Elikael Mbowe, Msigwa, Lissu, Mnyika, Kubenea na wengineo. Leo anakiri wapenzi wake wengi walikuwa ni wakwepa kodi, ati kubanwa kwao leo wanaonewa kwa sababu walimshabikia yeye!!! alitaka tumchague ili watu wake wake waendelee kutuliza!!!!
Lowassa amevuruga sana!

Mbaya zaidi wale waliotumia miaka zaidi ya minane kumsema fisadi, akawapa miezi mitatu wamsafishe kwenye majukwaa na wamuweke mgombea Urais kwa tiketi yao.
 
Kuna hatari ya filosofa kwisha Tanzania na kubaki na green guard tu
 
Hana jipya, asa iv anasema ccm inatumia ilan ya ukawa kafulia mbaya
 
Yaani wewe km umevimbiwa mihogo, Hiv lowassa angetaka kuwa km Nkurunzinza pangetosha hapa??? Acha wehu
 
Nadhani wanachomfanyia ni zaidi ya kumdanganya; ni kumtumia (take advantage of). Nina uhakika yeye na watu wote waliomshinikiza na kumuunga mkono kugombea Urais hawaamini kabisa kuwa wapo Watanzania wengi tu ambao hawakuwa tayari kumuona anachaguliwa kuwa Rais. Ukweli ni kuwa kama watu wangekuwa wanamtaka kweli na wangeamini hoja kuwa amedhulumiwa au ameibiwa kura watu hao wasingehitaji kusubiri neno lake. Tena tukiangalia tutaona tu kuwa tayari alishaanza kuwachochea ili wajitokeze mitaani pale alipojitangaza kuwa yeye ni mshindi na Tume imtangaze yeye kwani alikuwa tayari anaongoza. Ile ilikuwa ni namna ya kuwachochea watu waamini uongo na wajitoe mitaani kudai "atangazwe atangazwe".

Kwa vile tayari anaamini yeye ni Rais wa mioyo ya Watanzania wakati umefika atengeneze Ikulu kwenye mioyo ya hao ili awatale.
Ukimsikiliza Lowassa kwa makini utagundua ni mtu ambaye kwa sasa anaishi kwenye fool's paradise!
 
Biblia inasema utakapokuwa umekula na kushiba na kujenga nyumba nzuri usimsahau Mungu wako.

Wew naona umekula na kuvimbiwa halafu unaanza kuharisja.

Mbona mikutano ya upinzani ilipokuwa ikizuiliwa kwa hofu ya usalama hukuandika upuuzi huu.

Kwahiyo kosa lake unaona kuto chochea machafuko kama vile Burundi; au Syria hapo ungejisikia vizuri.

Lowasa ni mwanasiasa hajifunzi siasa; anajua maana ya anacho sema.

Wew kama unataka kuona kwa vitendo anachokisema nenda Syria au Afrika ya kati kawaulize hivi ninyi ni nyumbu au watu?
 
We jiangalie sana, almost 80% bado mioyo yao ipo kwa Lowassa kama hujui. We unafikiri kuzuia mikutano na maandamano ya kisiasa imefanywa kwa bahati mbaya..?? Jua hvo kuwa hata leo hii bado watu ndio wanamkubali Magufuli kwa kazi flanflan ila mioyo ipo kwa Masai.

Kama sio ukimya wa Lowassa leo tungekuwa tunaongea mengine kabisa.. Mwache Mzee wa watu anabusara sana
 
Lowasa ni hazina ya taifa nyie huko lumumba endeleeni na majungu yenu lakini tunatambua mti wenye matunda mema ndo unarushiwa sana mawe.Lowasa amepewa hekima sana na Mungu ndo mnahangaika kumtukana lakini hawajibu yupo kimya.
 
Mleta mada kitendo cha wewe kushindwa kumpuuza Lowasa na kumjadili kila Mara in dalili za kum admire
Kwa hiyo unataka kusema wale ambao huwa wanamjadili shetani kila mara wanakuwa wana mu-admire!
 
Kwa kuwa bado mdomo anao hebu awaambie basi wafuasi wake hata leo hii waingie barabarani tuone kama yaliyomo yamo.
Alijaribu kutuma ujumbe(instigate violent) siku ambayo alijitangazia ushindi na kuitaka NEC imtangaze lakini wananchi wengi wakampuuza.

Lowassa is barking dogs seldom bite!
 
Dunia inatambua Lowassa ana utajiri wa kifikra kuhusu njia ya kuwa fisadi nchini Tanzania. Kinachoendelea kwa sasa kinadhihirisha Lowassa anahitaji huruma za kisiasa kutokana na mwenendo wake kisiasa. Anahitaji sana ushauri usio wa kinafiki kuhusu hatima yake kisiasa nchini.

Nilivyomsikia kwa mara ya kwanza akitoa madai kuwa ukimya wake baada ya Uchaguzi Mkuu umesababisha kuwepo amani nchini, nilidhani kinachomsumbua ni mihemko ya kisiasa.

Nilipomsikia pia kwa mara ya pili akitamka maneno hayo Mkoani Arusha wakati akishiriki katika kampeni za Uchaguzi wa Jimbo la Arusha ambao uliahirishwa katika siku ya Uchaguzi Mkuu baada ya kifo cha mgombea wa ACT-wazalendo Estomih Mallah sikushangaa sana.

Kilichonishangaza zaidi ni pale nilipomuona tena kwa mara ya tatu ndani ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri, Usharika wa Monduli akisema kunyamaza kwake baada ya wananchi kupiga kura kwenye Uchaguzi Mkuu 2015 kumewafanya wananchi wasiuane. Eti anadai wananchi walikuwa wanasubiri neno lake ili waingie barabarani na kuanza kuuana.

Lowassa anataka kutuambia watanzania wengi ni kama nyumbu kwamba kila atakalolisema watalifuata au kulitenda. Anataka kutuambia watanzania wengi wanafanya mambo yao kwa kutegemea kauli zake. Anadhani yale aliyokuwa anayaita mahaba kwenye mikutano yake ni unyumbu.

Hawa watu wanaomshauri Lowassa waache kumdanganya. Kuna baadhi ya watu wanamjaza ujinga ili adhani ana hekima na busara zaidi ya Watanzania wengi.

Lowassa na wapambe wake hawafahamu kama watanzania wengi wana haiba ya kutopenda vurugu. Hafahamu kama kuna chaguzi kuu nne zimefanyika na Tanzania imeendelea kuwa nchi ya amani na kuheshimiana. Hafahamu utawala wa machifu uliokuwa na nguvu kubwa (powerful influence)katika jamii nchini ulipigwa marufuku na Tanzania ikaendelea kuwa na amani na kuheshimiana. Hafahamu tuna makabila zaidi ya 120 yenye imani za kidini tofauti lakini yanaishi katika msingi wa kuheshimiana na undugu.

Lowassa anataka kutufanya wajinga kama hatufahamu kuwa kitendo cha kuita waandishi wa habari na kujitangaza mshindi wa Urais halafu akaitaka NEC imtangaze ilikuwa ni dhamira ya ku-instigate violent lakini wananchi wengi walimpuuza.

Lowassa na wapambe wake wangetafuta kwanza uzoefu kuhusu haiba ya Watanzania kutoka wapinzani ambao wamekuwa katika uwanja wa upinzani kabla yeye hajawaza/kufikiria kama kuna siku atakuja kuwa mpinzani wa serikali ya CCM.

Kinachoonekana kwa sasa Lowassa yuko katika safari ya kisiasa ambayo Augustino Mrema amepitia! Lowassa has gone from hero to zero! As a politician, he is finished. There is no way back for him.

Ni nani anamshauri Edward Lowassa? Mwacheni akachunge ng'ombe wake Monduli!
A crippled post full of lies and misleading opinions, one-sided thoughts deliberately constructed to hide or cover the unbeatable truth.... A truth that is bitter to others like you.... The world knows exactly what happened before and after that funny election...so think twice pal before you come out with a hunk of this kind....!!!
 
mpuuzi wewe kama sio hekima za lowasa sasa hivi ungekuwa kweye kambi za wakimbizi kenya. Pangewaka moto hapa nchni
i
Hekima gani ???

Baada ya matokeo CHADEMA mliitisha maandamano yasiyo na kikomo nchi nzima.

Hata hili mmesahau!?!
 
Wale wenzetu wa kule walikua wamedhamilia kutuuzia mbuzi kwenye gunia ili wale national cake kibaguzi kama kawaida yao
 
Back
Top Bottom