Ni nani anayemdanganya Edward Lowassa?

Ni nani anayemdanganya Edward Lowassa?

mpuuzi wewe kama sio hekima za lowasa sasa hivi ungekuwa kweye kambi za wakimbizi kenya. Pangewaka moto hapa nchni
i
Inamaana wewe lowassa angesema nimeibiwa twende bara barani tukachinjane na wewe ungejitokeza kwenda kuchinjana na watanzania wenzako ili liwassa apate madaraka?
 
Eti "watanzania wanahulka ya kupenda amani", aisee nimechoka kabisa na statement yako hii!!

Wewe unadhani wasomalia, wanaijeria, wanyarwanda, warundi, wakenya, wasyria, wamisri au wengine wote waliochoka na manyanyaso na ukandamizaji wa wenye madaraka hawana au hawakuwahi kuwa na hulka ya kuipenda amani!!??

Please, give me a break!!

Ipo siku huu uhuni mnaofanya dhidi ya maamuzi halali ya wananchi kupitia sanduku la kura yatafikia mwisho kwa watu kusema enough is enough!!

Hebu angalia kinachoendelea Zanzibar ni uhuni mtupu. Kama sio busara za wapinzani wenu ktk chaguzi hizi, wananchi hawa mnaowaona kama wajinga vile ni sawa na nyasi kavu ktk nyika ambazo njiti moja tu ya kiberiti inaweza kuwasha moto ambao hakuna atakayeweza kuuzima!!

Mimi nakubali kabisa busara za opponents wa Magufuli kina Edward Lowassa na Seif Shariff Hamad na wengineo ndiyo maana leo unajitutumua kuandika upuuzi kama huu hapa
 
Last edited:
Lowasa atakuwa alikugeged we na mk!!!eo maana kutwa kumtaja laigwanan
 
mpuuzi wewe kama sio hekima za lowasa sasa hivi ungekuwa kweye kambi za wakimbizi kenya. Pangewaka moto hapa nchni
i

Unatanguliza mahaba katika hoja yako. Kwa Tanzania hii hilo haliwezekani la ukimbizi. Wapemba walijaribu kwenye uchaguzi wa 2000 wakateka kituo cha polisi na kuua polisi. Kilichowakuta hawawezi kusahau milele na ndio maana mpaka sasa pamoja na uchaguzi huko Zanzibar kufutwa huwasikii CUF wakiingia mitaani kwani wanajua kwa kufanya hivyo huo ndio utakuwa mwisho wa CUF. Wapemba wale wa mwaka 2000 walijifanya baada ya kuanzisha vurugu walijifanya wakimbizi huko Kenya, lakini Jumuiya ya Kimataifa ikawaangalia tu. Huwezi ukaanzisha vurugu Tanzania ukapona. Vyombo vya dola hapa viko imara kuliko wengi wanavyodhania. Ukifanya nyoko na ukaingia mtaani utaipatapata. Nakumbuka uko mwaka Profesa Lipumba aliongoza maandamano, dola ikafanya kazi yake Profesa Lipumba akapigwa mpaka nadhani akakimbilia ubalozi Fulani. Tanzania usijaribu kufanya fujo za kitoto, za kijinga na za kuiga. Utakufa tu. Umma wa watanzania hautaki fujo wala vurugu. Wanasiasa uchwara wataendelea kuwadanganya lakini utashangaa wanasiasa hao wao hawako msitari wa mbele. Wanaacha walalahoi wawe msitari wa mbele na wao wanajificha. Nenda Mtwara ukawaulize wanaMtwara kilichowapata baada ya kuleta vurugu za gesi...Hawataki kusikia tena jambo kama hilo. Walikuwa wanadanganyana je 'INATOKA HAITOKI?' Jibu lao likawa HAITOKI kwa maana ya gesi eti haiwezi kutoka MTWARA. Wakaingia mitaani. Nakuthibitishia hawatarudia tena...
 
Usijidaganye hata siku moja.Uvumilivu huwa unafika kikomo usifikiri hata watawala hawajui.wanajua wanaongoza wafu ila iko siku wafu watafufuka kujua wanaongozwaje hapo ndio utajua hiyo kauli yako haina mashiko.Wewe unadhani vyombo vya usalama wanatumia robot ambao sio binadamu?Tofauti hizo ambazo zitatoke kwa wananchi ndio hizo hizo zitakazo tokea kwenye vyombo vya ulinzi na usalama.Yaani wewe umeleta hoja ya kitoto kabisa
 
Mpuuzi ni yule anayedhani amani ya Tanzania alikuwa ameishikilia kwenye mdomo wake!

Mpuuzi ni yule anayedhani Watanzania wengi ni kama manyumbu!
Na wale waliokua wanasema ccm imeleta amani msichague wapinzan wataleta vita nae ni mtu gani?
 
Hivi lowasa alimgegeda mkeo nini maana kutwa ni lowasa lowasa!
Wewe unadhani kila mwanaJF ana mke lakini pia nikijenga hoja kulingana na fikra zako, unataka kutuambia mkeo akigegedwa huwa kutwa nzima ni lowasa lowasa?
 
Na wale waliokua wanasema ccm imeleta amani msichague wapinzan wataleta vita nae ni mtu gani?
Bukoba hawa watu ambao kabla ya kujibu hoja huwa hawafikirihi ubongo ndio huwa wanaumbuka vitu vidogovidogo hivi.
 
Yani inaonekana wew ni MNAFIKI !uchaguz wa mwaka jana bado unakukuna shida yako uone watu wanavyotukana.Siuseme mambo yako au unafurahia kukwaza watu.mviuuuuuuuuuuuuuuu
Ungeanza kumshauri Lowassa ambaye kwa sasa amebakiwa na story za kuibiwa kura kila akikutana na kikundi cha watu!

Mwambie kwa nini anakunywa na Uchaguzi wa mwaka jana?
 
Kura milioni 6 (40%) zilipatikana hivi: milioni 3 (19%) ni kura za mikoa miwili zilizopigwa kwa njia ya ukabila. Kura milioni 1 zilitoka Dar es Salaam na milioni ingone 1 (jumla 16%) ni kura halali kwa watu genuinely waliamini Lowassa anaweza kuleta mabadiliko ya mwenendo wa serkali. Milioni 1 ziliibiwa sehemu za mijinimijini kuliko na maduka ya Wachagga. Kura halali za Mhe Lowassa alishindwa 85%/15%.
njoo uolewe uchagan naona unawataman
 
Back
Top Bottom