Msijifanye kuwatetra Marais ndio hao hao wanafanya uhuni alafu mnasema wanavhafuliwa unayo mamlaka unavhafuliwaje yaani kuamuru jeshi litoe taarifa ndani ya saa 24 au 72 unashindwa? Kuna watu wanashukiwa kufanya maovu yeye hasikii kwanini wasiitwe wahojiwe?Naona kuna vita vikali sana ndani ya Chama Cha Mapunduzi (CCM). Hii inanikumbusha kipindi cha Hayati Dr. Magufuli. Kuna muda alipingwa sana na watu ambao kwa mtu mwenye uelewa wa kawaida atajua kabisa ni watu wa karibu ambao wanatumia sura ya unafiki.
Kuna matukio mengi sana kwa sasa yanatengenezwa kumchafulia sifa Rais wetu Samia.
Matukio ya utekaji, mauaji, fitina polisi na raia. Je, ni nani yup nyuma ya matukio haya? Lengo lake ni nini hasa?
Wanasiasa wabinafsi, nawakumbusha Tanzania sio nchi ya baba zenu ni yetu sote. Mtu yoyote anaweza kuwa rais wa nchi hii.
Pia soma:
~ Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana
~ Mbowe: Mtu wa kwanza kuwajibishwa kwenye matukio ya utekaji ni Rais Samia. CHADEMA kuanza kampeni ya 'Samia Must Go'
Urais ni tunu kutoka kwa Mungu. Samia alipozaliwa Mungu alijua atakuwa mwanamke wa kwanza kuongoza Taifa la Tanzania. Alilolipitisha Mungu, mwanadamu hawezi kulipangua.
Samia tunakupenda sana rais wetu. Mimi mwanao Bob Malik nakuombea afya njema na mafanikio mpaka 2030 utakapomaliza muhula wako wa sita. Amen.
Jiuzulu/Nashukuru sana mwanangu. Ila nikwambie tu mimi mama yako sikuwahi kutamani kabisa kuwa rais. Hata kuwa makamu sikugombea wala sikujqza fomu ya maombi. Wale wazee walinilazimisha tu mwanangu. Na nililia sana. Wakasema watanisaidia. /
Punguza kisirani chenye mchanganyiko na kisukari aseePresident for Samia?
Hivi nyie mmejifunza kiingereza gani hicho?
Wewe na huyo Sangudi acheni ujinga.
mtu anaechafuliwa maana yake ni msafi. Una uhakika samia ni msafi?Naona kuna vita vikali sana ndani ya Chama Cha Mapunduzi (CCM). Hii inanikumbusha kipindi cha Hayati Dr. Magufuli. Kuna muda alipingwa sana na watu ambao kwa mtu mwenye uelewa wa kawaida atajua kabisa ni watu wa karibu ambao wanatumia sura ya unafiki.
Kuna matukio mengi sana kwa sasa yanatengenezwa kumchafulia sifa Rais wetu Samia.
Matukio ya utekaji, mauaji, fitina polisi na raia. Je, ni nani yup nyuma ya matukio haya? Lengo lake ni nini hasa?
Wanasiasa wabinafsi, nawakumbusha Tanzania sio nchi ya baba zenu ni yetu sote. Mtu yoyote anaweza kuwa rais wa nchi hii.
Pia soma:
~ Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana
~ Mbowe: Mtu wa kwanza kuwajibishwa kwenye matukio ya utekaji ni Rais Samia. CHADEMA kuanza kampeni ya 'Samia Must Go'
Urais ni tunu kutoka kwa Mungu. Samia alipozaliwa Mungu alijua atakuwa mwanamke wa kwanza kuongoza Taifa la Tanzania. Alilolipitisha Mungu, mwanadamu hawezi kulipangua.
Samia tunakupenda sana rais wetu. Mimi mwanao Bob Malik nakuombea afya njema na mafanikio mpaka 2030 utakapomaliza muhula wako wa sita. Amen.
Kisirani na kisukari?Punguza kisirani chenye mchanganyiko na kisukari asee
Kama ni kweli anahujumiwa, basi akubali uchunguzi huru.Naona kuna vita vikali sana ndani ya Chama Cha Mapunduzi (CCM). Hii inanikumbusha kipindi cha Hayati Dr. Magufuli. Kuna muda alipingwa sana na watu ambao kwa mtu mwenye uelewa wa kawaida atajua kabisa ni watu wa karibu ambao wanatumia sura ya unafiki.
Kuna matukio mengi sana kwa sasa yanatengenezwa kumchafulia sifa Rais wetu Samia.
Matukio ya utekaji, mauaji, fitina polisi na raia. Je, ni nani yup nyuma ya matukio haya? Lengo lake ni nini hasa?
Wanasiasa wabinafsi, nawakumbusha Tanzania sio nchi ya baba zenu ni yetu sote. Mtu yoyote anaweza kuwa rais wa nchi hii.
Pia soma:
~ Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana
~ Mbowe: Mtu wa kwanza kuwajibishwa kwenye matukio ya utekaji ni Rais Samia. CHADEMA kuanza kampeni ya 'Samia Must Go'
Urais ni tunu kutoka kwa Mungu. Samia alipozaliwa Mungu alijua atakuwa mwanamke wa kwanza kuongoza Taifa la Tanzania. Alilolipitisha Mungu, mwanadamu hawezi kulipangua.
Samia tunakupenda sana rais wetu. Mimi mwanao Bob Malik nakuombea afya njema na mafanikio mpaka 2030 utakapomaliza muhula wako wa sita. Amen.
sorry mkuu hiyo orodha ndio wachafuzi wa rais au una maana gani.1.Hamad Yusuph masayuni,
2. TISS,
3. Waziri wa Tamisemi
4. Waziri wa fedha
5. IGP
6. MKUU wa mkoa wa Dodoma
7. Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro
8. Mkuu wa mkoa wa Tanga
9. DC Nzega
10. Ded Moshi MC
11. RPC GEITA
12. PROF mbarawa, uchukuzi
Hamna uhusiano,,bali nimefuata tu matamshi ya herufiKisirani na kisukari?
Hivi hapo kuna uhusiano au umefuata tu matamshi ya herufi?
Kwa hiyo nchi hii tunateteana sio Kwa misingi ya Sheria na Katiba Bali kutokana na dini zetu
Break a leg.No, we were talking about a trick.
Kama nyie ambao hamkuupania urais ndo tunawataka maana kuna watu wanautaka urais mpaka wanaandika kwenye mawe. Hao wana tamaa kwa hiyo tupo na wewe./Nashukuru sana mwanangu. Ila nikwambie tu mimi mama yako sikuwahi kutamani kabisa kuwa rais. Hata kuwa makamu sikugombea wala sikujaza fomu ya maombi. Wale wazee walinilazimisha tu mwanangu. Na nililia sana. Wakasema watanisaidia./
JinsiaNaona kuna vita vikali sana ndani ya Chama Cha Mapunduzi (CCM). Hii inanikumbusha kipindi cha Hayati Dr. Magufuli. Kuna muda alipingwa sana na watu ambao kwa mtu mwenye uelewa wa kawaida atajua kabisa ni watu wa karibu ambao wanatumia sura ya unafiki.
Kuna matukio mengi sana kwa sasa yanatengenezwa kumchafulia sifa Rais wetu Samia.
Matukio ya utekaji, mauaji, fitina polisi na raia. Je, ni nani yup nyuma ya matukio haya? Lengo lake ni nini hasa?
Wanasiasa wabinafsi, nawakumbusha Tanzania sio nchi ya baba zenu ni yetu sote. Mtu yoyote anaweza kuwa rais wa nchi hii.
Pia soma:
~ Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana
~ Mbowe: Mtu wa kwanza kuwajibishwa kwenye matukio ya utekaji ni Rais Samia. CHADEMA kuanza kampeni ya 'Samia Must Go'
Urais ni tunu kutoka kwa Mungu. Samia alipozaliwa Mungu alijua atakuwa mwanamke wa kwanza kuongoza Taifa la Tanzania. Alilolipitisha Mungu, mwanadamu hawezi kulipangua.
Samia tunakupenda sana rais wetu. Mimi mwanao Bob Malik nakuombea afya njema na mafanikio mpaka 2030 utakapomaliza muhula wako wa sita. Amen.
Hilo jamaa jinga watu toka enzi na enzi wanaulizia kuhusu azory
Hakusema kuulizia, amesema mbona hatujaona maandamano?Hilo jamaa jinga watu toka enzi na enzi wanaulizia kuhusu azory
Wale wazee walinilazimisha tu mwanangu. Na nililia sana. Wakasema watanisaidia./
Aisee?! Ungeandika tu kwa kiswahili.Samia for President.
Nyinyi wagonjwa wa unyani mtajua wenyeweHakusema kuulizia, amesema mbona hatujaona maandamano?
Mnajitia uziwi msio nao?