Ni nani anaemiliki kiwanda cha ARV feki?

CCM ile ya WAKULIMA na WAFANYAKAZI ya enzi za Mwalimu itarudi kweli? Kwa nini wafanyabiashara matapeli wameivamia hivi CCM? Hatuwezi kuwaiga Wachina? Mwezi uliopita mke wa kigogo mmoja wa chama cha kikomunisti huko China alikutwa na hatia ya mauaji ya mzungu mmoja mshirika wake kibiashara. Kosa hili limemporomosha mumewe kutoka uongozi wa ngazi ya juu kabisa hadi sakafuni.
 
Ramadhan Madabida aligombea ubunge kilwa na kushindwa na mgombea wa cuf bwn Bungala aka b.wege,ni mmiliki wa hiki kiwanda na mkewe Zarina mwenyekiti wa uwt wa Dsm aliyepita.
Ofisi zake zipo pale mikocheni opposite na talk of the town,kwa warioba
kweli jf ni zaidi ya chombo cha habari
 
riz 1 hakosi kwenye hii deal..when it comes to money this boy is a ghost..he is everywhere
 
Member of Parliament CV

GENERAL
SalutationHonourableMember picture
1593.jpg
First Name: Zarina
Middle Name:Shamte
Last Name:Madabida
Member Type:Special Seat
Constituent:No Constituency
Political Party:CCM
Office Location:Box 3850, Dar Es Salaam
Office Phone: +255 754 400804
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail: zmadabida@parliament.go.tz
Member Status: Current Member
Date of Birth 30 April 1953
EDUCATION
School Name/Location Course/Degree/Award Start DateEnd DateLevel
Wailes Primary SchoolPrimary Education19611967PRIMARY
Jangwani Secondary SchoolO-Level Education19681971SECONDARY
University of Dar Es SalaamBSc. (Pharmacy)19761979GRADUATE
University of Ghent, BelgiumPharmacist19811981CERTIFICATE
Government Chemist Technical SchoolDiploma (Chemical Analyst)19721974DIPLOMA
EMPLOYMENT HISTORY
Company Name Position From DateTo Date
The Parliament of TanzaniaMember - Special Seat20102015
Tanzania Pharmaceutical IndustryDirector1997Todate
Mpewani PharmacyDirector19941997
NAPCOMarketing Manager19811993
Government ChemistsChemical Technician19741975
POLITICAL EXPERIENCE
Ministry/Political Party/LocationPositionFromTo
Chama Cha Mapinduzi, CCMChairperson - UWT (Dar Es Salaam Region)2008
Chama Cha Mapinduzi, CCMChairperson (Ward Economics)2006
Chama Cha Mapinduzi, CCMGuardian (NAPCO Branch)1983
Government ChemistsChemical Technician19741975
kWA profile kama hizi nadhani itakuwa wazi sasa ni kwa nini hii nchi haipigi hatua. lakini kama ni kweli watu wale wale walio tufikisha katika matatizo makubwa haya ya kiuchumi na kijamii wameamua sasa kutengeneza dawa ili watuue, kitu gani kingine tunaweza kusema!!!
 
Ni ya mbunge mmoja wa ccm yeye na mume wake majina yao yamenitoka kidogo ila walianza kuwa maduka ya phamarcy baadae huyo mama akawa anachezesha upatu baadae akawadhurumu wanawake wenzake yeye na mume wake ndio wakafungua kiwanda cha Dawa wenye data zaidi watakuja kuwapa A-Z

Zarina Madabida
 
Ni jambo la hatari sana kuleta siasa katika afya za watu waziri wa afya(dr. Hussein mwinyi) anamsimamisha kazi mkuu wa msd, na kuzema hizo dawa feki zimeshatolewa sokoni, je ni watu wangapi wameshazitumia hizo dawa, ni madhara kiasi gani wamepata au watapata? Kwa kweli nashauri zile sheria za china zije na zitumike, ili ujinga kama huu usiendelee bila hivyo naona hapa ni masihala na blablaaaa kila kitu huku watu maskiini wakiangamia. Huyo mmiliki wa hicho kiwanda atakuwa na backup ya haohao wezi walipo serikalini wakiongozwa na jk mwenye, maana huyu jk na uko wake wameamua kuigeuza tz ni kitega uchumi chao, wanafanya na kupora kila kitu anytime...

hakika uyasemayo
 
kweli sheria za china zinahusika sana bongo,wahovyo sana hawa!
 
Wakuu tunazunguka mduara tu hapa. ebutusaidieni sisi tuliombali. Huyu Madabida ni nani? kiwanda hiki kiko wapi? Taarifa za feki ARV zilikanushwa serikalini? nani exactly alikanusha habari hizo? Nikweli kuna waziri aliyekataa mpango huu? kama alijua mpango huu mchafu alichukua hatua gani kuokoa afya za watanzania?
 
Thanks to Omjubi. nimepata some answers. Tusubili hatua zaidi za uwajibikaji wa serikali. Kumbe Madabida anafahamika!
 
Shangingi la jiji linataka kuua watu,linataka watu wafe ili tukichukua nchi 2015 tuwe hatuna nguvu kazi
 
kWA profile kama hizi nadhani itakuwa wazi sasa ni kwa nini hii nchi haipigi hatua. lakini kama ni kweli watu wale wale walio tufikisha katika matatizo makubwa haya ya kiuchumi na kijamii wameamua sasa kutengeneza dawa ili watuue, kitu gani kingine tunaweza kusema!!!

hii cv mbona haieleweki??angalia alivyo graduate na kupata certificate?naomba kujua kama wanapitia cv zao kabla hazijawekwa public?
 
Dawa ya binadamu ni kumuwekea sheria kali kwenye mali ya umma.

Duuu Mkuu kila siku ungekuwa unaamka hivi ingekuwa safi sana,ningekuwa najua unapopatikana ningekununulia bia leo (kama unakunywa) Yaani leo unatumia akili zako kucomment sio za Nape!!!!
 
ni kweli kiwanda kilichositishwa kutengeneza arvs ni mali ya ukoo wa ramadhani madabida na mkewe ambae ni mbunge wa ccm!! Hii familia iliingia kwenye ulingo wa siasa kama njia ya kukwepa deni kubwa la serikali wanalodaiwa baada ya kununua kiwanda toka psrc.

Bwana madabida ni mjumbe wa nec ya ccm na sasa hivi yuko kwenye kuwania uenyekiti wa ccm mkoa wa dar. Wakati mkewe amebwagwa kwenye kugombea uenyekiti wa uwt mkoa huo huo. Hawa jamaa ni rafiki wa karibu wa mkweree na ndio maana wanataka kufanya kama alivyofanya swahiba wao yaani kufanya chama mkoa wa dar ni cha familia yao!!!
they will never succeed, tufiakwa! Hivi tulitokana wapi na watu hawa???
 
Back
Top Bottom