Ni nani anaemiliki kiwanda cha ARV feki?

Ni lazima atakuwa mjamaa kutoka kule nchi ya mbali wanakolala barabarani ila wakija huku wananing'inia kwenye maghorofa.UUaji wa aina hiyo unatakiwa ushughulikiwe kwa nguvu zote

NI mtanzania na kada wa chama cha mapinduzi, alishawahi kupiga watu kwenye upatu akapeta, pamoja na serikali ya jamhuri ya muungano wa tanzania
 
Si unaona, umetulipua na mabomu mara 2 na hukutaka kuwajibika kama baba yako alivyolipua mfungwa. Sasa bomu la ARV nalo unalo. Na hata ukipelekwa wizara ya jinsia bado kuna bomu litakufuata tu Mwinyi........ili uwe rais lazima uwajibike kama baba yako.......
 
Back
Top Bottom