The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,299
- 122,126
ndio mgao umeshapita tayari,Muda gani mkuu ? Vipi leo mgao umepita ?
Hua tunapewa asubuhi sana,saa 11 alfajiri,
kesho uwahi kuamka mapema.
ndio mgao umeshapita tayari,Muda gani mkuu ? Vipi leo mgao umepita ?
Waache na mambo yao.Sijui wamepatajet taarifa za humu! na sio waoga kabisa, mtu anaanika upumbavu wake mpaka sio poa..
Mnapewa mnaoenda masjid alfajirindio mgao umeshapita tayari,
Hua tunapewa asubuhi sana,saa 11 alfajiri,
kesho uwahi kuamka mapema.
HIvi zile email sio privacy kwao?Kipindi kile Kila nikitaka kujiunga naambiwa lazima niwe na email, nikiangalia natumia kiswaswadu hakikubali kufungua email.
Ikabidi niwe mpole.
Mpaka 2018 niliponunua simu Fulani hivi ilikuwa na email nikaitumia kufungua akaunti yangu hapa jf.
Mpaka Leo email niliyotumia kufungulia hii akaunti yangu si yangu. Maxence Melo hii itaniletea shida baadae?
Upo wapi nije kukupasuaThe man himself who won someone's heart😂
Jembe Beach mwanza na wanawake wawili mashalah wa kisukumaUpo wapi nije kukupasua
Ni kweli mwanza samaki mrefu kama mtoto wa chekechea ni elfu 10?Jembe Beach mwanza na wanawake wawili mashalah wa kisukuma
Asante sana mkuu!aise kama kuna changamoto hii ya email, kuna siku ukisahau password utapoteza akaunti moja kwa moja.
Pia, notifications zote email zinaenda kwenye email uliyoweka.
Tafadhali badili
Kwanini mtoto wa chekechea mkuu 🤣Ni kweli mwanza samaki mrefu kama mtoto wa chekechea ni elfu 10?
Ili iwe rahisi kuvuta picha ya ukubwa wa samakiKwanini mtoto wa chekechea mkuu 🤣
Hakuna samaki wa hivyo huku, ila wa elf 10 mnakula week👌Ni kweli mwanza samaki mrefu kama mtoto wa chekechea ni elfu 10?
Nakuja kula kujigalagazaHakuna samaki wa hivyo huku, ila wa elf 10 mnakula week👌
Tumegundua umegushiKipindi kile Kila nikitaka kujiunga naambiwa lazima niwe na email, nikiangalia natumia kiswaswadu hakikubali kufungua email.
Ikabidi niwe mpole.
Mpaka 2018 niliponunua simu Fulani hivi ilikuwa na email nikaitumia kufungua akaunti yangu hapa jf.
Mpaka Leo email niliyotumia kufungulia hii akaunti yangu si yangu. Maxence Melo hii itaniletea shida baadae?
Unaweza kuibadili hiyo email na kuweka ya kwakoKipindi kile Kila nikitaka kujiunga naambiwa lazima niwe na email, nikiangalia natumia kiswaswadu hakikubali kufungua email.
Ikabidi niwe mpole.
Mpaka 2018 niliponunua simu Fulani hivi ilikuwa na email nikaitumia kufungua akaunti yangu hapa jf.
Mpaka Leo email niliyotumia kufungulia hii akaunti yangu si yangu. Maxence Melo hii itaniletea shida baadae?
Naibadili vipi mkuu Sina uwezo wa kufikia email niliyotumia kufungulia hii akauntiUnaweza kuibadili hiyo email na kuweka ya kwako
Nenda kwenye profile yako, nenda sehemu imeandikwa Account details bonyeza hapo utaona email uliyoweka na neno change, utabonyeza hapo na kuweka email yako mpya unayoitaka.Asante sana mkuu!
Kwa sasa sina uwezo wa kufikia ile email ambayo nilitumia kufungulia akaunti yangu hii.
Kwenye ku log in natumia username na password (hii password siwezi kuisahau)
Nikitaka kubadili ile email nafanya vipi? Zingatia siwezi kufikia ile email ya mwanzo
Nenda kwenye profile yako, nenda sehemu imeandikwa Account details bonyeza hapo utaona email uliyoweka na neno change, utabonyeza hapo na kuweka email yako mpya unayoitaka.Naibadili vipi mkuu Sina uwezo wa kufikia email niliyotumia kufungulia hii akaunti