Ni nani amekwambia kuna mtandao»»»wa JF!?

Ni nani amekwambia kuna mtandao»»»wa JF!?

Zilikuwa zile tecno ndogo za batani, hata Leo zipo simu zinasapoti intaneti ila hauwezi kufungua email.
Kijijini kwetu mimi ndiyo nilikuwa mtundu wa kuchezea simu (kwenye mtandao)
Nilikuwa naingia Google nawaonyesha picha za wanyama basi naonekana jinias.
Sio kweli.
Hy Simu ilitosha kufungua email, n ww tuu Ndo hujua namna ya kufanya.
Simu zote lazima zisapot Google, kama n hvy bc lazima email ikubali
 
Kwamba simu inasapoti intanet Ila haisapoti kufungua email?

N simu gn hy?
Au n ww tuu ulikuwa hujui namna ya kufungua Email?
download (9).jpeg


Kipindi kile hakuna mambo ya vpn unaingia tu jf Kwa kutumia opera min.
Sijajua Kwa sasa
 
aise kama kuna changamoto hii ya email, kuna siku ukisahau password utapoteza akaunti moja kwa moja.

Pia, notifications zote email zinaenda kwenye email uliyoweka.

Tafadhali badili
 
Back
Top Bottom