Ubepari huo shida zako ndo fursa kwake.Ni nani alieanzisha biashara ya parking MUHIMBILI?
Pesa inayopatikana inamnufaisha nani?
Ni haki kumtoza pesa mgonjwa kwa kupaki gari lake tu?
Ni kweli binadamu mtanzania amekosa utu na huruma kiasi Cha kutoza pesa WAGONJWA?
Itakuwa niNi nani alieanzisha biashara ya parking MUHIMBILI?
Pesa inayopatikana inamnufaisha nani?
Ni haki kumtoza pesa mgonjwa kwa kupaki gari lake tu?
Ni kweli binadamu mtanzania amekosa utu na huruma kiasi Cha kutoza pesa WAGONJWA?
Waangalie na maeneo Leo hata ukipaki tu nje ya nyumba yako wanakulipishaMBONA HOSPITALINI UNALIPA KWANI UNATIBIWA BURE? USHAONA WAPI KUNA HUDUMA ZA BURE
Hii kero ni wizi kabisa hadi nje ya mjiParking imekua biashara ya ajabu sana. Juzi nimepark njia za ndani ndani uko nakuta jamaa na kimashine chake anaingiza info. Nakuja cheki online nadaiwa. Jero tayari.
Akili yake kweli ya kiprofeseleNilimsikia yule Professa Janabi akisema wamefanya hivyo kwa sababu magari mengi yaliyokuwa yanapaki pale ni ya watu wasio na wagonjwa..
Yani mtu anaona kuliko akalipie parking Kariakoo au Posta, ni bora akapaki kigari chake pale kisha anashika mwendokasi chap kufanya shughuli zake mjini kisha jioni anakipitia..
Wengine walikuwa wanaenda mbali hata kupaki magari yao pale kwa siku hadi wiki..
Ni binadamu lakini sio vyema kuwatumia sehemu za jumuia ya watu wa aina tofauti tofauti. Baadala yake wawatumie watu wenye uwezo wa lugha na alama mbalimbali....... ALAFU WAMEWEKA WALINZI WOTE MPAKA KANTEEN MABUBU KAMA HUELEWI LUGHA YA ALAMA MTAISHIA KUKWAZANA TU NA HAKUNA MFASIRI
Parking imekua biashara ya ajabu sana. Juzi nimepark njia za ndani ndani uko nakuta jamaa na kimashine chake anaingiza info. Nakuja cheki online nadaiwa. Jero tayari.
MAMBO ya bi Tozo, maana hata kwenda matibabu ni tarehe kwao.. Loh hii in hi hapana asee... Machichiem mmezidi sasaNi nani alieanzisha biashara ya parking MUHIMBILI?
Pesa inayopatikana inamnufaisha nani?
Ni haki kumtoza pesa mgonjwa kwa kupaki gari lake tu?
Ni kweli binadamu mtanzania amekosa utu na huruma kiasi Cha kutoza pesa WAGONJWA?
MBONA HOSPITALINI UNALIPA KWANI UNATIBIWA BURE? USHAONA WAPI KUNA HUDUMA ZA BURE
Nilianzisha mimi, sababu mlikua mnapaki wengi halafu mnaondoka kwenda makazini kwenu, hatujui nani mgonjwa nani janja janja.. Ndo maana nikashusha hili rungu