Ni nani alimuua Mchungaji Mtikila?

Dah!
 
PK ameichezea nchi vyakutosha...
 
Hawa jamaa wangeweza kuikamata Tanzania wangekuwa na Kingdom kubwa sana, Bahati mbaya mipango ya Mungu ni ya tofauti na wanadamu
Wanaingia kidogo kidogo,wameanzia chini,mimi namjua jamaa mmoja huko fb zamani profile lake ilikua inasoma from gisenyi,akajichanganya na ccm huko alipoanza kupata mwelekeo akabadili profile sasa hivi ni diwani kanda ya ziwa huko,na kipindi cha bunge uwa sana dom,bahima plan yao ni vizazi na vizazi mazee
 
Walau we umeeleweka uko vzr
 
Weka vitu Mzee baba

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
 
MPAKA JAMAA KAWA DIWANI BILA KUJULIKANA.

Sent using JamiiForums mobile app
 
Na ikawaje Mch. Mtikila akasema serikali ya JK ndio imemuua rafiki yake Prof. Mwaikusa:

Source-Tanzania daima.

Awali iliripotiwa kuwa Rais Jakaya Kikwete alitarajiwa kushiriki kwenye mazishi ya Mwaikusa, ambaye amefanya kazi ya uhadhiri mwandamizi wa Kitivo cha Sheria cha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kwa muda mrefu.

Kutoonekana kwa viongozi wa serikali kwenye mazishi yake kumeshtua wengi, hasa baadhi ya viongozi wa vyama vya upinzani waliofika nyumbani kwa Profesa Mwaikusa kuhudhuria mazishi yake

Akizungumza na Tanzania Daima Jumapili, Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, alisema ameshangazwa kwa hatua ya serikali kushindwa kuhudhuria mazishi ya Profesa Mwaikusa, kwani ameuawa akiwa bado mtumishi wa serikali.

Kwanza ukiangalia tukio zima, si rahisi kukwepa kuhudhuria mazishi ya Profesa Mwaikusa, pia alikuwa mfanyakazi wa serikali hadi mauti yalipomfika, iweje sasa hawa wenzetu wa serikali washindwe kuhudhuria shughuli hii muhimu? alihoji Profesa Lipumba.

Alisema umakini wa Profesa Mwaikusa katika utendaji kazi enzi za uhai wake, kumesaidia nchi kupiga hatua kwenye mambo mbalimbali, hivyo serikali kushidwa kuhudhuria mazishi yake ni jambo la kushangaza.

Naye Mwenyekiti wa Chama cha Democratic (DP), Mchungaji Christopher Mtikila, alisema hakutarajia kutowaona viongozi wa serikali katika mazishi ya msomi huyo, kwani kwa namna moja au nyingine wanahusika na mauaji yake.

Hawawezi kuja hapa, yeye ndiye alishiriki katika kesi ya mgombea binafsi, na hawa ndio waliohusika na mauaji yake, alisema Mchungaji Mtikila bila kufafanua
.

Mhadhiri Mwandamizi katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Profesa Issa Shivji, alisema haijawahi kutokea kwa serikali kushindwa kuleta hata mwakilishi wake kwa msiba wa aina hiyo, hasa ukizingatia kuwa Profesa Mwaikusa
 
Mchg Mtikila alikuwa na hulka ya uropokaji hvyo hiyo kauli haikushangaza

Na kwa hulka yake hio pengine ndie mwanasiasa pekee nchini mwenye kesi nyingi zaidi mahakamani zenye kushitaki na kushitakiwa.

Na mara ya mwisho alifungua kesi kwa kumshitaki Askofu Mokiwa kwa kumshika makalio

Marehemu Prof Mwaikusa (ambae alikuwa mbobezi ktk taaluma ya sheria) alikuwa ni Wakili wa utetezi ktk moja ya kesi ya watuhumiwa wa ushiriki wa mauaji ya Kimbari nchini Rwanda iliyokuwa ikisikilizwa Arusha.

Na alifanikiwa kuibwaga Serikali ya Rwanda iliyokuwa ikitaka mtuhumiwa huyó wa mauaji apelekwe kushitakiwa mahakama za Rwanda lakn Prof Mwaikusa akashinda kesi ile kwa kusema kwamba mteja wake hatotendewa haki ktk mahakama za nchini Rwanda.

Kumbuka mtuhumiwa alikuwa ni Mhutu huku Serikali ya Rwanda ikiongozwa na Mtutsi bw Paulo

Kwahyo wakati kesi ya msingi ikianza kusikilizwa ndipo Prof Mwaikusa akakumbwa na umauti

Katika kesi ya mgombea binafsi pale Prof hakuwa tishio maana majaji wa Mahakama japo ni Mhimili mwingne lakn ni ukweli kuwa watafuata matakwa ya mwanasiasa ambae ni Raisi na Mwenyekt wa Chama tawala ktk kuamua.
 
Hahahaha Mtikila alipoandika ule waraka alionekana yuko vzr Sana kichwani Ila aliposema rafiki yake Prof Mwaikusa ameuwawa na serikali ya JK amegeuka kua mropokaji?Naamini maneno ya Mtikila tu.

Kwa beef aliyokua nayo Mtikila kwa Kagame&the co. alikua hana sababu ya kutosema Rwanda imemua Prof. Mwaikusa tena hio angeisema asubuhi na mapema.

Tuendelee na conspiracy theories.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…