Otorong'ong'o
Platinum Member
- Aug 17, 2011
- 39,276
- 29,170
your mom,your wife,your sisters know me better.
Black Pope ndo anakuwaje mkuu, ni mweusi au ni kama Tittle tu?dadavua kidogo tafadhalihuyo ni papa wa vatican,kwa kifupi vatican inamilikiwa na illuminati popes wote wapo kwa ajili ya illuminati na wanatekeleza orders from them kupitia 'the black pope'.
Superior General of the Society of Jesus - WikipediaBlack Pope ndo anakuwaje mkuu, ni mweusi au ni kama Tittle tu?dadavua kidogo tafadhali
Sasa hapo kuna shida gani..?? Black pope ni jina la utani kwasababu mbili kuu....(Ikiwa wewe ni mkatoliki utanielewa)
niliyemuwekea hiyo link aliuliza kama black pope inamaanisha mtu mweusi au vipi thus nikamuwekea ili aone black pope ni mtu gani na pia angetaka connection kati ya black pope na illuminati au vatican na illuminati ningemuwekea link(s) vile vile.Sasa hapo kuna shida gani..?? Black pope ni jina la utani kwasababu mbili kuu....(Ikiwa wewe ni mkatoliki utanielewa)
SG (Superior General) anaitwa Black pope kwa kuwa kasula anayovaa ni nyeusi while kasula ya Pope ni Nyeupe....
Sababu nyingine ya kuitwa Black Pope ni kuwa ananguvu kubwa ya kushauri(Kumshauri Baba Mtakatifu) hivyo watu walimfananisha kama kivuli cha Pope.....
Ndiposa majina hayo ya Utani (nick name) yalipoanzia...ila kiuhalisia hakuna mtu anayeitwa Black Pope au White Pope ....
Sasa kwa mtu msomi au mdadisi kuendeleq kushupaza shingo yake kuwa kuna kitu kinaitwa black pope lazima tuhoji kama anaakili timamu
The Most Powerful Man In The World ? “The Black Pope” ?niliyemuwekea hiyo link aliuliza kama black pope inamaanisha mtu mweusi au vipi thus nikamuwekea ili aone black pope ni mtu gani na pia angetaka connection kati ya black pope na illuminati au vatican na illuminati ningemuwekea link(s) vile vile.
The Most Powerful Man In The World ? “The Black Pope” ?Sasa hapo kuna shida gani..?? Black pope ni jina la utani kwasababu mbili kuu....(Ikiwa wewe ni mkatoliki utanielewa)
SG (Superior General) anaitwa Black pope kwa kuwa kasula anayovaa ni nyeusi while kasula ya Pope ni Nyeupe....
Sababu nyingine ya kuitwa Black Pope ni kuwa ananguvu kubwa ya kushauri(Kumshauri Baba Mtakatifu) hivyo watu walimfananisha kama kivuli cha Pope.....
Ndiposa majina hayo ya Utani (nick name) yalipoanzia...ila kiuhalisia hakuna mtu anayeitwa Black Pope au White Pope ....
Sasa kwa mtu msomi au mdadisi kuendeleq kushupaza shingo yake kuwa kuna kitu kinaitwa black pope lazima tuhoji kama anaakili timamu
Wacha kukoteza upuuzi huko na kuleta hapa...Ndio maana nikakuuliza umeshawahi ugua kichaa....?
niliyemuwekea hiyo link aliuliza kama black pope inamaanisha mtu mweusi au vipi thus nikamuwekea ili aone black pope ni mtu gani na pia angetaka connection kati ya black pope na illuminati au vatican na illuminati ningemuwekea link(s) vile vile.
Dark societies US ziko nyingi sana. Ndio maana waliwapinga kwa nguvu zao zote wakatoliki wakati wanaanzisha taifa lao maana Freemasons walikuwa mbele kabisa wakiongoza....wazee wa mahabone. Hawafai kabisaWalio muua Abraham Lincolin, J. F. Kennedy ndio walio muua Marilyn Manroe
na mi nikakujibu your mom,your wife,your sisters & your daughters know me better...Wacha kukoteza upuuzi huko na kuleta hapa...Ndio maana nikakuuliza umeshawahi ugua kichaa....?
Haaa haaaaa haaaamuda aliopost ni saa tisa usiku,hii ni dalili ya depression ( msongo wa mawazo).