Ni nafasi ipi nzuri ndani ya hotel ya kufanyia kazi

Ritchy Breezy

JF-Expert Member
Dec 9, 2020
392
579
Habr za wakati huu ndugu zangu.

iko hivi..
Kuna Jamaa yangu kanipa mchongo wa kufanya kazi hotelini Zenji, nafikiri ni hizi hotel za kitalii au zinazopata wageni kutoka nchi tofauti muhimu ameniambia kama kingereza kinapanda kazi nitapata.. Kuhusu lugha hakuna tatzo japo sizungumzi english mara kwa mara ila nikianza kukitumia naamini kitanyoka vizuri.

Changamoto ilonifanya nihataji msaada wenu ni juu ya postion! Wapendwa ni postion ipi kwa hizi hotel za design hii ni nzuri na hazina kashkash sana na usumbufu mwing+kero? Mwenye ako na exprience na hizi mambo za hotel plz help me kujua best postion sijawahi kufanya kazi hoteln kanipa uhuru ya kuchagua postion sabu ana jamaa ake ambae anahusika kuregulate maswala kwenye hotel huska, ikumbukwe sjawahi kufika Z'bar..

END.
 
Kama lugha(English) inapanda na una ujuzi wa computer mwambie akuweke mapokezi uwe (receptionist) ni nafas ambayo Haina purukushani...

Maan hotel Ina department nying ukikaa restaurant yaan uwe Waiter aisee utakuwa ukiingia job hakuna kukaa

Bar yaan uwe Barman it needs knowledge and skills on how to mix cocktails

Jikon yaan kuwa chef inahtaj pia uwe ulsoma hotel management specific kitengo Cha jikon yaan mapishi..

Housekeeping yaaan uwe house keeper ni kufanya usafi vyumban kwa wagen.

Laundry yaan uwe mfuaji...bt aslmia kubwa ni kutumia machine...na kupga pas (u dobi)

Store yaaan uwe store keeper apa hesabu iwe inapanda sana Huwa wanachukua waliosoma procurement and supplies

Garden yaan uwe mtunza bustan..ni kufanya usafi na kumwagilia bustan

Kwa kifupi hotel ni pana sanaaa..

Ila sehem ambayo uta relax na pesa kidgo nzr ni reception uwe receptionist bt ujue kutumia computer vzr.
 
naona reception na kuwa supervisor ndo naeza fit..ila computer najua kuchezea t kimtindo nipe tips kadhaa muhimu khs kompyuta mkuu,nini natakiwa nifahamu.
 
Maisha yako yanaenda kubadilika unaenda pata demu wa kiitariano plus chakula kizuri n.k

Kiufupi Kazi ya hotel kutokana nakuwepo kwa access ya Chakula watu wengi huonekana wapo vizuri Sana .
 
M
Kama lugha(English) inapanda na una ujuzi wa computer mwambie akuweke mapokezi uwe (receptionist) ni nafas ambayo Haina purukushani...

Maan hotel Ina department nying ukikaa restaurant yaan uwe Waiter aisee utakuwa ukiingia job hakuna kukaa

Bar yaan uwe Barman it needs knowledge and skills on how to mix cocktails

Jikon yaan kuwa chef inahtaj pia uwe ulsoma hotel management specific kitengo Cha jikon yaan mapishi..

Housekeeping yaaan uwe house keeper ni kufanya usafi vyumban kwa wagen.

Laundry yaan uwe mfuaji...bt aslmia kubwa ni kutumia machine...na kupga pas (u dobi)

Store yaaan uwe store keeper apa hesabu iwe inapanda sana Huwa wanachukua waliosoma procurement and supplies

Garden yaan uwe mtunza bustan..ni kufanya usafi na kumwagilia bustan

Kwa kifupi hotel ni pana sanaaa..

Ila sehem ambayo uta relax na pesa kidgo nzr ni reception uwe receptionist bt ujue kutumia computer vzr.
Mkuu umedadafua vizuri ila naona kila kitengo wenye nafasi ni waliosomea hicho kitengo ....ila mkuu naomba mawasiliano yako nipate mwongozo vizur ,natanguliza shukrani
 
Back
Top Bottom