Ni mwezi gani mzuri wa kuanza ujenzi?

kikoozi

JF-Expert Member
Jun 24, 2015
2,030
2,929
Habarini za muda, kwa wajuzi wa kujenga ni kipindi au muda mwezi gani hali ya hewa ni nzuri kufanya ujenzi (January, February, March, April, may, June, July, August, September, October, November, December)

Karibuni kwa mtazamo wenu.

Location ni Dar es Salaam
 
Location ni; dar es salaam
Kwanza uko mkoa gani ili tukushauri vizuri, hali ya hewa ya Kongwa ni tofauti sana na Tukuyu.
 
Habarini za muda, kwa wajuzi wa kujenga ni kipindi au muda mwezi gani hali ya hewa ni nzuri kufanya ujenzi (January, February, March, April, may, June, July, August, September, October, November, December)

Karibuni kwa mtazamo wenu.

Location ni Dar es Salaam
Je mwezi wapili naweza kuanza ujenzi ????????? ofu yangu ni mvua
 
Back
Top Bottom