Mkereketwa_Huyu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 9,217
- 6,349
Mwisho wa mwezi ama mwanzo wa mwezi baada ya kulipwa mshahara. Kwani wewe ulitakaje?Habarini za muda, kwa wajuzi wa kujenga ni kipindi au muda mwezi gani hali ya hewa ni nzuri kufanya ujenzi (January, February, March, April, may, June, July, August, September, October, November, December)
Karibuni kwa mtazamo wenu.
Location ni Dar es Salaam