BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,772
- 23,164
Duh.....Mkuu sio huyo mama tu,mama ntilie wengi,wapika vitafunwa na migahawa mingi ina vituko sana.Mimi sili kabisa magengeni na migahawani mkuu.Nilishashuhudia mama ntilie akikojolea chai,sina hamu mkuu.