Mke wa mjomba kanitishia kunimaliza Kwa vyovyote vile

MIRIMA

Member
Jul 17, 2023
83
265
Mjomba anasumbuliwa na kisukari Kwa muda mrefu alinitumia ujumbe niende kwake bila kukosa

Nilitikia wito wake nikafika Kwa muda Ili na mm niwahi kurudi kwenye miangaiko angalau mkono ingie mdomoni.

Mjomba kafarahi kuniona na hapo hapo kampigia advocate wake akiwa amelala kitandani ilioko chumbani kwake (hali yake sio nzuri sana kutokana na complications ya kisukari ) haikuchukuwa muda huyo advocate akafika akiwa na WOSIA ..

Mwanangu nimekuita hapa Ili nikukabidhi "wosia " nina watoto wawili nje ya ndoa na madogo wako anawafahamu wa kwanza ni 7yrs na mwingine 3yrs , wale ni wanangu wa damu na Wana haki wa kupata jasho langu ..bado ni wadogo na mama yao hayuko vizuri kiuchumi (hawa watoto nawajua na nikipata muda nawatembelea ni wadogo zangu ). Nimepewa na nyaraka za umiliki ya migao ya hawa watoto wa nje.

Mjomba ana nyumba moja anaishi na mke wa ndoa ,frem tano,maeneo tofauti Dar ,ana Hisa kwenye kampuni moja ya simu, gari mbili (Noah na Rava 4 ) , viwanja vitatu maeneo ya chanika na shamba huko mkuranga kama heka 20 ) ,pamoja na biashara zake japokuwa Kwa sasa anayesimamia biashara ni mke wake lkn mauzo yameshuka.

Mke wa mnjomba hataki hawa watoto wa nje wapate mirathi, aliandika wosia akashirikisha mke wake Cha ajabu kilileta mtafaruko na wosia kilichanwa mbele yake .

Nanukuu "Mwanangu nimekuamini na ninajua nimekuletea matatizo lakini wewe ni mwanaume hakikisha hawa wanangu (nje ya ndoa ) wanapata haki zao jinsi nilivyoo andika kwenye wosia Mimi Kwa sasa sina nguvu unaiona afya yangu".

Kufupisha story ana watoto wa ndoa wawili 13 yrs na 10yrs ,alimwita mamdogo akamwelezea tukiwa wote pamoja na advocate na mtoto moja wa ndoa alikwepo ,japokuwa niliona mke wake hakufrahia kabisa na alipinga na kuleta ugomvi isiyo na maana.mimi akanipa nakala moja ya wosia ,nyingine tulimwachia mke wake ,na wakili wake kabaki na moja.

Baada ya kuondoka mamdoga kanipigia simu na kunitisha nanukuu " nitakumaliza ...kama unataka uishi rudisha wosia ....na usijifanye unajua mume wangu kuliko mimi .. Kwa kiherehere hicho ulicho nacho utajilaumu kunijua "

Nilirecordi mazungumuzo yake,nimetoa report kituo Cha polisi na kikubwa zaidi yule wakili alirecord Kila kitu kule tulipoanza na mjomba mpaka alipokuwa analeta ugomvi na tayari nimeshachukuwa...sitaki nimwambie Mjomba kulingana na hali yake ya kiafya ...nimewambia watu wangu wa karibu kama Kuna kitu kikitokea kwangu Kwa sababu tupo mjini chochote kinaweza kutokea..nimeongeza umakini.
 
Watoto wa nje ya ndoa, wanavuruga sana familia. Huyo shangazi Yako unaweza hisi ana roho mbaya, ila ni vile ana uchungu, huwezi jua alihustle vipi na mjomba wako.

Kwa hiyo scenario, huna namna zaidi ya kusimamia alichokuamini mjomba wako ukifanye.

Ila nje mada, kwa mwanamme, haijalishi utatomb* kiasi gani huko nje, linapofika swala la kuzaa, basi Rudi kwa mkeo. Starehe zetu za muda mfupi, huwa zinaacha migogoro ya muda mrefu tukiondoka.
 
Mimi sio mwanasheria ila kama sijakosea mirathi halali ya wanandoa lazima wote wakubaliane nafikiri ili kulinda mali isirithishwe ovyo nje ya wahusika.

Kama ni hivi, ikiwa mirathi hii imekubaliwa na mkewe, basi ni halali. Kama hakukubaliana nayo toka mwanzo, ni batili. I stand t be corrected.
 
Mjomba anadai kabla hajaoa alikuwa tayari ashaanza kuwekeza kama shamba,nyumba na kiwanja alichojengea frem, mali zilizobaki ndio amepata akiwa kwenye ndoa Kwa upande wa Hisa hata mke wake alikuwa hajui ,mke wake nae ana biashara zake alizopewa msingi na baba yake na anasimamia yeye kama yeye...
 
Sasa kwanini asingewaandalia huko huko mapema sio mpaka kumhusisha mkewe, anafanya jeuri huku huyo mke ndiye anamtunza halafu huyo mama wa kando anasubilia miradhi ya wanaye, mjomba wako atarudisha namba kabla ya siku zake mke akimsusa itakuwaje wakati mwingine wanaume huwa mnajitafutia matatizo wenyewe, wewe unaishi na mtu kwa mapenzi yote kwa uaminifu kumbe yeye ana mji huko na uridhi mnagawana, ila haipo sawa nikuumizana mioyo.
 
Mjomba anasumbuliwa na kisukari Kwa muda mrefu alinitumia ujumbe niende kwake bila kukosa

Nilitikia wito wake nikafika Kwa muda Ili na mm niwahi kurudi kwenye miangaiko angalau mkono ingie mdomoni.

Mjomba kafarahi kuniona na hapo hapo kampigia advocate wake akiwa amelala kitandani ilioko chumbani kwake (hali yake sio nzuri sana kutokana na complications ya kisukari ) haikuchukuwa muda huyo advocate akafika akiwa na WOSIA ..

Mwanangu nimekuita hapa Ili nikukabidhi "wosia " nina watoto wawili nje ya ndoa na madogo wako anawafahamu wa kwanza ni 7yrs na mwingine 3yrs , wale ni wanangu wa damu na Wana haki wa kupata jasho langu ..bado ni wadogo na mama yao hayuko vizuri kiuchumi (hawa watoto nawajua na nikipata muda nawatembelea ni wadogo zangu ). Nimepewa na nyaraka za umiliki ya migao ya hawa watoto wa nje.

Mjomba ana nyumba moja anaishi na mke wa ndoa ,frem tano,maeneo tofauti Dar ,ana Hisa kwenye kampuni moja ya simu, gari mbili (Noah na Rava 4 ) , viwanja vitatu maeneo ya chanika na shamba huko mkuranga kama heka 20 ) ,pamoja na biashara zake japokuwa Kwa sasa anayesimamia biashara ni mke wake lkn mauzo yameshuka.

Mke wa mnjomba hataki hawa watoto wa nje wapate mirathi, aliandika wosia akashirikisha mke wake Cha ajabu kilileta mtafaruko na wosia kilichanwa mbele yake .

Nanukuu "Mwanangu nimekuamini na ninajua nimekuletea matatizo lakini wewe ni mwanaume hakikisha hawa wanangu (nje ya ndoa ) wanapata haki zao jinsi nilivyoo andika kwenye wosia Mimi Kwa sasa sina nguvu unaiona afya yangu".

Kufupisha story ana watoto wa ndoa wawili 13 yrs na 10yrs ,alimwita mamdogo akamwelezea tukiwa wote pamoja na advocate na mtoto moja wa ndoa alikwepo ,japokuwa niliona mke wake hakufrahia kabisa na alipinga na kuleta ugomvi isiyo na maana.mimi akanipa nakala moja ya wosia ,nyingine tulimwachia mke wake ,na wakili wake kabaki na moja.

Baada ya kuondoka mamdoga kanipigia simu na kunitisha nanukuu " nitakumaliza ...kama unataka uishi rudisha wosia ....na usijifanye unajua mume wangu kuliko mimi .. Kwa kiherehere hicho ulicho nacho utajilaumu kunijua "

Nilirecordi mazungumuzo yake,nimetoa report kituo Cha polisi na kikubwa zaidi yule wakili alirecord Kila kitu kule tulipoanza na mjomba mpaka alipokuwa analeta ugomvi na tayari nimeshachukuwa...sitaki nimwambie Mjomba kulingana na hali yake ya kiafya ...nimewambia watu wangu wa karibu kama Kuna kitu kikitokea kwangu Kwa sababu tupo mjini chochote kinaweza kutokea..nimeongeza umakini.
Hao "bastards" hawana haki kisheria ya kurithi...hizo mali azipige transfer kwao kabla hajafa, faster sana.
 
Watoto wa nje ya ndoa, wanavuruga sana familia. Huyo shangazi Yako unaweza hisi ana roho mbaya, ila ni vile ana uchungu, huwezi jua alihustle vipi na mjomba wako.

Kwa hiyo scenario, huna namna zaidi ya kusimamia alichokuamini mjomba wako ukifanye.

Ila nje mada, kwa mwanamme, haijalishi utatomb* kiasi gani huko nje, linapofika swala la kuzaa, basi Rudi kwa mkeo. Starehe zetu za muda mfupi, huwa zinaacha migogoro ya muda mrefu tukiondoka.
Wanatesa kweli, ndiyo maana unakuta Baba anaondoka leo muda mfupi mama anapata mjomba watu wanaanza kuuliza itakuwa alikuwa naye au ndiye kamuua ndugu yetu, kumbe mama maumivu yakuumizwa hana hata maumivu ya haja yakuondokewa na Mme .
 
Hao "bastards" hawana haki kisheria ya kurithi...hizo mali azipige transfer kwao kabla hajafa, faster sana.
Nimependa huo ushauri wa kutransfer mali kabla hajafa..Nina mpango wa kumwelezea hivyo..LAKINI SIJAPENDA WALA SIPENDELEI KUMWITA MTOTO WA NJE YA NDOA BASTARDS .,
 
Back
Top Bottom