Ni mwaka wa sita sasa sijala vitumbua nilijiapiza sitokula vitumbua tena kwa kile nilichokiona

Hawa waganga wanawadanganya sana dada zetu..
Kwa hiyo maji aliyokuwa anachambia ndio dawa ya kuvuta wateja!
Pole mkuu...tupe uzoefu wako vilikuwa na ladha gani,maana tujue kuviepuka.
a mnakupenda huko anapochambia basi na vitumbua vyake vipendwehivyo especially na wanaume, ndio maana mjomba alikuwahataki vimkauke mdomoni.
 
Huu ni mpango mkakati wa kuiua biashara ya vitumbua,watu wananyonya nyuchi mbichi we unaacha kula vitumbua vilivyokaangwa kwa mafuta! hayo maji yalikuwa ni kuvutia tu biashara hayana athari yoyote kiafya.
 
Hahahaaaa! Eti nyuchi mbichi. Kina nyingine huwa zinapikwa kwani?
 
Ili mradi sio sumu au chemical hatari, kula tu. Piga sala kabla hujala then inakuwa safi. Muda wa kuchunguza utapata wapi. Uchi wa mwanamke unatumika na mengi.
 
Kwa taarifa yako si vitumbua tu.Baadhi yawapishi wa misiso hutumia njia hiyo ambayo huamini huwateka wateja wao wawe wa kudumu
 
Mkuu sio huyo mama tu,mama ntilie wengi,wapika vitafunwa na migahawa mingi ina vituko sana.Mimi sili kabisa magengeni na migahawani mkuu.Nilishashuhudia mama ntilie akikojolea chai,sina hamu mkuu.
hahahaa.hata mi ilinikuta hiyo mkuu nilimshudia mama mpika mmoja aki shii kwenye sufuria la chai
 
Utayajua yote ndugu yangu? Kuna mambo yanafanyika hapa duniani ukiyaona utamwomba Mungu akuchukue muda huohuo.Unajua huyo girl friend/ mke wako alichokufanyia mpaka unapenda muda wote muwe pamoja? Umelishwa kitu zaidi ya yale maji ya yule mama wa vitumbua.Chamsingi tumwombe Mungu atuepushe na mambo mabaya ila sio kutokula vitumbua.Ukitaka kuwa na uhakika wa kutokula uchafu pika mwenyewe mpaka kifo chako.
 
Umefanikiwa uzi wako umepitiwa na watu wengi japo uliyoyaandika hayabebeki.
 
Ni miaka 6 sasa imepita sijala vitumbua hivyo ladha ya vitumbua nimeshaisahau.
nilijiapiza sitokula tena vitumbua kwa kile nilichoki shuhudia.

mwaka 2010 nilikuwa naishi na mjomba wangu katika moja ya maeneo.
na huyo mjomba wangu alikuwa mpenzi sana wa vitumbua na uzuri ni
kwamba pale mtaani tunapoishi jirani yetu alikuwa anapika vitumbua hivyo watu asubuhi hukusanyika kwake kibarazani na kununua vitafunwa hivyo.

Mjomba wangu huwa ni mtu anayeswali hivyo saa kumi na moja alfajiri huamka na mara nyingi anapoelekea msikitini hupitia kwa yule mama muuza vitumbua na humpa maelekezo namna vitumbua vyake vipikwe ''huyu mjomba wangu huwa anapenda vitumbua vyake viwekwe hiriki na abdalasini'' kwahiyo yule mama huwa anatenga vitumbua kadhaa labda vitano ambayo huweka viungo hivyo kwaajili ya mjomba wangu,mara nyingi humpitia yule mama ili kumkumbusha tu asije kusahau na ukizingatia yule mama nyumba anapoishi ni jirani na kwetu.

Nakumbuka ilikuwa kipindi ambacho usiku ni mfupi hivyo jua huwahi kuchomoza,kama kawaida mjomba wangu huyo kaamka alfajiri aelekee kuswali msikitini na aliniamsha sababu ilitakiwa niwahi chuoni sababu ya Cat 2 kwahiyo nilimhimiza aniamshe mapema saa kumi na moja ili niweze kupata muda wa kuperuzi na kujiandaa,sasa mjomba wangu huyo akaniomba niende kwenye ile nyumba nimpe maelekezo yule mama ''siyo kila siku anapewa maelekezo sababu kuna baadhi ya siku huwa hanunui vitumbua sasa siku hiyo alikuwa ana uhitaji wa vitumbua''.

maelekezo huwa anampa mapema sababu mjomba huyu huwa anaenda kazini mapema hivyo huwa anapikiwa vitumbua mwanzo kabisa na mida kama ya saa kumi na mbili na nusu au saa moja kasoro huwa anavipata na kuchangamsha tumbo lake kabla ya kuelekea kazini

sasa nimeenda kwenye ile nyumba kuna mlango huwa upo wazi,ni kawaida kwa mida hiyo mlango huo kuwa wazi nikausukumiza nilicho shuhudia sikukiamini kabisa.Yule mama muuza vitumbua yupo uchi kanga ipo pembeni ananyunyuzia maji kwenye uchi wake kisha yale maji yanaingia kwenye beseni la vitumbua,ni kama mithili ya mtu anayetawadha...nilipigwa na butwaa na mshangao sasa wakati nageuza yule mama akastuka akaniona.Kufika nyumbani nikamsimulia mjomba nilichokiona .

Aliniuliza mara mbili mbili akidhani namtania ,kama ni kweli nikamuambia uhakika kwa macho yangu mawili nimemuona akifanya hivyo,kwa hasira mjomba alitaka kwenda kumvamia yule mama nikamtuliza lakini alienda kumchana laivu yule mama asubuhi yake.

Tokea hiyo siku huyo mjomba wangu yeye na vitumbua ni kama panya na paka wakati alikuwa mpenzi sana wa vitumbua,na mimi hapa tokea 2010 mpaka leo hii sijatia kitumbua mdomoni kwangu kila nikitaka kula navuta picha tukio la yule mama akinyunyuzia maji kwenye uchi wake kisha yale maji yanaingia kwenye beseni ya unga wa vitumbua.

yule mama kwa aibu aliondoka pale mtaani alihama kabisa.

View attachment 449927 View attachment 449929 View attachment 449927
unajidanganya tu kwa kuacha kula vitumbua sasa inamaa kua maandazi nayo hauli chips nazo hauli tena unakuta wakaanga chips wanaweka na mayai mabovu
 
sasa mbona hata point yako haiendani na uliyoyasema

inshu sio kula vitumbua ila inshu ni namna alivyokua anapika huyo mama

mimi bibi yangu alikua mpishi mzuri tyu na kila kitu nilikua nashuhudia from a to z hakuna icho kitu

waweza sema hauli vitumbua lakin ni kwambie tu kuna baga zinapikwa kwa njia hiyo au kuna chakula kizuri tyu mliman city kinapikwa hivyo

so kua makini
 
Mbona huyo mzuri
Mm nilishuhudia mama mmoja anakanda maandazi na maji ya chooni yenye funza mengine tumuachie Mungu anaetulinda kila siku

Hayo yote tisa nilisimuliwa na rafiki yng kutoka Iringa kuwa mama mmoja muuza samaki alikuwa anauza minofu ya nyama za watu kwa miaka mingi akichanganya na vipande vichache vya samaki mpaka alipokuja kuumbuliwa na mzee mmoja ambae nimtaalam alipomuuzia minofu hiyo

Mshana atakuwa anajua vizuri haya mambo ajitokeze kutufafanulia

ni kweli kumuachia Mola na kuomba kinga yake.

hata sehemu za kula hadi mahoteli nako hakuna anayejua kinachojiri.
 
Ni miaka 6 sasa imepita sijala vitumbua hivyo ladha ya vitumbua nimeshaisahau.
nilijiapiza sitokula tena vitumbua kwa kile nilichoki shuhudia.

mwaka 2010 nilikuwa naishi na mjomba wangu katika moja ya maeneo.
na huyo mjomba wangu alikuwa mpenzi sana wa vitumbua na uzuri ni
kwamba pale mtaani tunapoishi jirani yetu alikuwa anapika vitumbua hivyo watu asubuhi hukusanyika kwake kibarazani na kununua vitafunwa hivyo.

Mjomba wangu huwa ni mtu anayeswali hivyo saa kumi na moja alfajiri huamka na mara nyingi anapoelekea msikitini hupitia kwa yule mama muuza vitumbua na humpa maelekezo namna vitumbua vyake vipikwe ''huyu mjomba wangu huwa anapenda vitumbua vyake viwekwe hiriki na abdalasini'' kwahiyo yule mama huwa anatenga vitumbua kadhaa labda vitano ambayo huweka viungo hivyo kwaajili ya mjomba wangu,mara nyingi humpitia yule mama ili kumkumbusha tu asije kusahau na ukizingatia yule mama nyumba anapoishi ni jirani na kwetu.

Nakumbuka ilikuwa kipindi ambacho usiku ni mfupi hivyo jua huwahi kuchomoza,kama kawaida mjomba wangu huyo kaamka alfajiri aelekee kuswali msikitini na aliniamsha sababu ilitakiwa niwahi chuoni sababu ya Cat 2 kwahiyo nilimhimiza aniamshe mapema saa kumi na moja ili niweze kupata muda wa kuperuzi na kujiandaa,sasa mjomba wangu huyo akaniomba niende kwenye ile nyumba nimpe maelekezo yule mama ''siyo kila siku anapewa maelekezo sababu kuna baadhi ya siku huwa hanunui vitumbua sasa siku hiyo alikuwa ana uhitaji wa vitumbua''.

maelekezo huwa anampa mapema sababu mjomba huyu huwa anaenda kazini mapema hivyo huwa anapikiwa vitumbua mwanzo kabisa na mida kama ya saa kumi na mbili na nusu au saa moja kasoro huwa anavipata na kuchangamsha tumbo lake kabla ya kuelekea kazini

sasa nimeenda kwenye ile nyumba kuna mlango huwa upo wazi,ni kawaida kwa mida hiyo mlango huo kuwa wazi nikausukumiza nilicho shuhudia sikukiamini kabisa.Yule mama muuza vitumbua yupo uchi kanga ipo pembeni ananyunyuzia maji kwenye uchi wake kisha yale maji yanaingia kwenye beseni la vitumbua,ni kama mithili ya mtu anayetawadha...nilipigwa na butwaa na mshangao sasa wakati nageuza yule mama akastuka akaniona.Kufika nyumbani nikamsimulia mjomba nilichokiona .

Aliniuliza mara mbili mbili akidhani namtania ,kama ni kweli nikamuambia uhakika kwa macho yangu mawili nimemuona akifanya hivyo,kwa hasira mjomba alitaka kwenda kumvamia yule mama nikamtuliza lakini alienda kumchana laivu yule mama asubuhi yake.

Tokea hiyo siku huyo mjomba wangu yeye na vitumbua ni kama panya na paka wakati alikuwa mpenzi sana wa vitumbua,na mimi hapa tokea 2010 mpaka leo hii sijatia kitumbua mdomoni kwangu kila nikitaka kula navuta picha tukio la yule mama akinyunyuzia maji kwenye uchi wake kisha yale maji yanaingia kwenye beseni ya unga wa vitumbua.

yule mama kwa aibu aliondoka pale mtaani alihama kabisa.

View attachment 449927 View attachment 449929 View attachment 449927
Mbona kama fictious tu. Ukweli 0.00% vitumbua mtu avitawazie maji vitabaki kuwa na hali gani na bado viweze kuuzika.. Sijakuamini Kabisa na uncle wako alikuwa bachela ? maana mwanaume mwenye majukumu yake akae akifatilia viungo vya vitumbua mkewe ana majukumu gani... Nakuhisi we kutumia fikra za kuhisi tu... Sijakuami na story yako
 
C vitumbua 2 na baadhi ya vyakula hata migawahani,hoterin ILS ni imani yako 2 mm nakula na nikuomba mungu anisaidie maana cjadhurika, Au ww umepata madhara?
 
Unaogopa kula vitumbua kisa mama alitoa photocopy k, kwenye vitumbua ili viumuke! Sasa kuna wenzako wanazama hukohuko chumvini kwenye k hiyohiyo kupiga deki......wewe vitumbua vimekaangwa unaogopa nini...
 
Dah sitasahau siku nilipomuona mama ntilie anamtawaza mtoto kisha Yale maji aliyomtawazia mtoto akayachanganya kwenye maharage.Yani toka siku hiyo ata kama nanjaa vipi nanipo mbali na nyumbani basi bora kama nitakula biskuti na soda kabisa kuliko kula ovyo ovyo
 
Napenda sana vitumbua na hizi stori nishaziskia kitambo nafikiri kuacha kula mpaka siku nishuhudie mwenyewe
 
Back
Top Bottom