Ni muda upi sahihi kwa mwanaume kuoa.?

Ni muda upi sahihi kwa mwanaume kuoa.?

Kuoa is the only act to leverage one's life. If you marry you will always get MORE from LESS
- free sex
- free advice
- free laundry service
- free well cooked food
- respect (baba mwenye nyumba, mama mwenye nyumba)
- Children
- indeed utatumia pesa na ku sacrifice uhuru wako but unatengeneza maisha

Usipooa/olewa
- utakuwa na uhuru wa kuruka ruka na kupoteza mda na pesa zaidi bila output yoyote.. mwishowe ni frustration tu na baadae uje kuonea wivu waliojenga familia zao
Uko sawa mkuu!! Japo vijana wengi hawatambui hlo
 
Kila mtu na priorities zake kwenye maisha, waweza kuta vitu vyote vya nyumbani anavyo lakini its out of his scope/vision/aim/goals to get married at that time. So theres no specific time or identical goals.

Nyama maziwa anapata yanini afuge ng'ombe[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125]
 
Kila mtu na priorities zake kwenye maisha, waweza kuta vitu vyote vya nyumbani anavyo lakini its out of his scope/vision/aim/goals to get married at that time. So theres no specific time or identical goals.

Nyama maziwa anapata yanini afuge ng'ombe[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125][/QU
chako ni chako bwana! ukifuga ng'ombe wako utapata hayo maziwa na nyama kwa wingi zaidi.
 
Maisha ya sahivi unaweza kuwa na chako, lakini chako kikiwa ndani kikitoka nje hata kama kinakwenda sokoni tu! Kumbe mna share na wenzako[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Ama Kweli mchawi mkuu
At d age 24 uwe umeoa i guesss utakua mwarab au mhind/village boi yan
Unaoa/kuozeshwa dada ako...ili kulinda mali zisipotee..
Cc wabongo hua umri huo ndio kwanza tuko chuo tukitafuta degree..
Shida NAyO elimu ya tz michosho unazunguka sanaaa! Unakuja kuambulia 700k per Month
Lakin huo ndio muda sahihi ukitazama hata life expancy ya wafrica IPO low
Useme upate mke na 30/28 age n kama kununua gari LA zaman maana muda wowote litajifiaa t
 
hapana hii haihusiani kabisa na maisha yangu, ila nahitaji kujifunza zaidi, no one knows tomorrow!
Mpe mapenz mazuri huyo unayeishi naye
Tambua kip anataka na kip hakitaji
Kuwa naye karibu MPE mawazo mazuri
Mfanye akuone kuwa boraa
Also muhimu MVUMILIE
 
samahani naweza kujua sababu za wewe kuthubutu kuoa mapema?
1)Skendo za kuiba wake za watu.
2)Mama yangu ni mzee sana ana mtoto mmoja ambae ni mimi. aliitaji mjukuu
3)Sina ndugu nilikuwa mpweke sana
4)Niliumia sana kima penzi yani sana ili bidi nioe
5)Nipo mbali na nyumbani kutafuta maisha nilioa nipate ukoo wa uku ili mambo yawe[emoji106]
 
Tatizo mfumo wa elimu nao unachangia kwa wale wanaopata nafasi ya kusoma..wengi wanamaliza chuo kikuu wakiwa na umri range.. 23..24..25..so aingie mtaani atengeneze maisha...Mara paaap..30 iyo apoo...angalau kijana anaweza kuwaza kuoa...though wengine wanapitiliza kuendana na changamoto za maisha.
 
Tatizo mfumo wa elimu nao unachangia kwa wale wanaopata nafasi ya kusoma..wengi wanamaliza chuo kikuu wakiwa na umri range.. 23..24..25..so aingie mtaani atengeneze maisha...Mara paaap..30 iyo apoo...angalau kijana anaweza kuwaza kuoa...though wengine wanapitiliza kuendana na changamoto za maisha.
Weng wanaoa wakiwa na miaka mingap baada ya kumaliza vyuo?
 
Lakini siku ukikaribia kwenda kwa muumba wako ndo kabisaa mambo yatakua yanaenda mrama. Maana yote uliyoyafanya unaona hayana maana zaidi umepoteza muda. Wakati aliyeenda na taratibu anakua na peace of mind maana alienda sawa sawa. Ana mke, ana Watoto , amejijenga nk.
Indeed.. umemaliza kila kitu mkuu... respect
 
Hivi ni swali kwa wanaume tuu eeeh?
Ila kuoa ni mtihani ambao kuufaulu ni lazima upate mwanamke aliye sahihi.
Ukikosea kuoa au kuolewa utajuta maisha yako yote.
Nadhani watakuwa wanaogopa kujuta
Mkuu umemaliza
 
Habari, ni thread yangu ya kwanza humu. naomba majibu bila kutoka nje ya mada tafadhali.

Unaeza kuta mwanaume ana jitosheleza karibia kila mahitaji muhimu ana nyumba, ana kazi na anae mpenzi ambae yupo nae kwa muda mrefu tu, lakini likija suala la kuoa anakwambia bado yupoyupo. Hivi huwa munaangaliaga nini hasa?

ukiona network ya chini inasumbua wahi haraka kutafuta kifurushi chako ukiweke ndani bila kujali mda [emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom