Ni muda upi sahihi kwa mwanaume kuoa.?

Ni muda upi sahihi kwa mwanaume kuoa.?

Habari, ni thread yangu ya kwanza humu. naomba majibu bila kutoka nje ya mada tafadhali.

Unaeza kuta mwanaume ana jitosheleza karibia kila mahitaji muhimu ana nyumba, ana kazi na anae mpenzi ambae yupo nae kwa muda mrefu tu, lakini likija suala la kuoa anakwambia bado yupoyupo. Hivi huwa munaangaliaga nini hasa?
Sana sana tunatakaga wife material na sio kuoa kwa kua umejitosheleza!!! Mara nying tunataka kuchagua mtu sahii atakae kua mama wa wanao na mlez mzur,sio mbugia pombe SAA kumi mpaka SAA saba usku hujui watot wakoje!!! Nazan inachangia kuchelewa kuoa
 
Baba yangu alimwoa mama akiwa na miaka 16 na wakat huo mama akiwa na miaka 13
Walioana baada ya baba na mama kufumwa wakifnya tendo zur kichakan
Wakt huo baba alikuwa anachunga kijijn mbuz hajuh hata shule na mama alikuwa kaz n kuchota maji!!
Ndoa yao ilipitia misukosuko mingi Sana'a!
Coz wote walikuwa watt also walikuwa hawana elimu sahihi!
Babu yangu wa baba ikabid amkabidh baba eneo(zaman maeneo yalikuw kujichagulia)
Also akampa na mbuzi 2 na ngombe 3 kondoo 4 punda 1 na kuku 5!
Lengo LA kumpa hao n kujitegemea!!
Mmh baba alihangakka Sana'a! Hatmaye mifugo ikakubali
Kwa kuwa alikuwa na ndoto za kusoma ikabid asome kisomo cha zaman!(mama alikuwa mdog bado na unajua zaman walikuwa wanachelewa shika mimba)
So baba akaenda shule na kumwacha mama home!
Mzee alipomaliza 4m 4 tayr alikuwa kashazaa watt 2
Ili nifupishe story mzee hatmaye aliajiriwa na kuwa na maisha mazuri Sana'a na upendo na mama!

History hii alinipa baba wakat nilipikumbwa na skendo ya kuzaa na mwanafunz wa shule jiran kipind nipo 4m 2!!!
Japo huyu niliyezaa naye sijabahatika kumwoa but tunahudumi MTT wetu kwa umoja!
Na kwa mapenz ya dhati!!!
Mkitaka mwendelezo ntasema
Hatutaki mwendelezo.
 
Sana sana tunatakaga wife material na sio kuoa kwa kua umejitosheleza!!! Mara nying tunataka kuchagua mtu sahii atakae kua mama wa wanao na mlez mzur,sio mbugia pombe SAA kumi mpaka SAA saba usku hujui watot wakoje!!! Nazan inachangia kuchelewa kuoa
Asanteh.
 
Wengi waliojitosheleza kama ulivyoainisha wanahofia zaidi kukosea basi. Kosea kununua gari au kujenga nyumba ila sio mke au mume.
 
Mungu anijaalie nioe umri alio owa baba yangu pia nitawoa mke sawa na umri mama yangu alio olewa
 
Back
Top Bottom