Ni muda upi sahihi kwa mwanaume kuoa.?

Ni muda upi sahihi kwa mwanaume kuoa.?

tumeishi miaka kumi kisheria hiyo ni kama mume na mke, alafu eti unakuja kumpa excuse kwamba nikioa sitokuwa huru. my take. unawezaje kuishi na mtu kwa muda mrefu kiasi hicho bila ndoa kwa kisingizio cha uhuru / kuhofia kubanwa?
wajua ndoa ni jambo la hiyari.......ni lazima wote mridhie kwa pamoja.....uking'ang'ania ntakuoa tuu coz umelazimisha......so siku ya siku mambo yakigeuka uwe mpole.....iwe miaka 10 au zaidi......mmeamua na mna mapenzi ya kweli....sio ya dhati tuu...ya kweli..yaani ukweli....haina shida......mradi muwe mnazungumza ya kwenu kwa amani na upole.....ndoa ni kifungo etiii....cha hiyari...ila kigumu kuliko jela....
 
Japokuwa huwa wanasema hawajapata wenza sahihi ila kwa upande wangu naona wengi wanakuwa bado wanapenda kuwa huru hivyo wanajua wakioa watabanwa banwa.

Yaani zile za kurudi home saa sita na saa saba hazitakuwepo.
Mbona mimi nimeoa na narudi nyumbani saa saba bila mashaka yoyote?
 
Ama Kweli mchawi mkuu
At d age 24 uwe umeoa i guesss utakua mwarab au mhind/village boi yan
Unaoa/kuozeshwa dada ako...ili kulinda mali zisipotee..
Cc wabongo hua umri huo ndio kwanza tuko chuo tukitafuta degree..
Mimi nimeoa nikiwa na miaka 23
 
Japokuwa huwa wanasema hawajapata wenza sahihi ila kwa upande wangu naona wengi wanakuwa bado wanapenda kuwa huru hivyo wanajua wakioa watabanwa banwa.

Yaani zile za kurudi home saa sita na saa saba hazitakuwepo.


Umejuajee aaah kujiachia ndiyo mpango
 
kuoa si kitu cha kukurupuka,pili umri wa kuoa anahisi bado,tatu yupo na mwanamke anayelazimisha ndoa,hamnakitu kinakera km mwanamke anaelazima ndoa yaani utachunguzwa wewe mpk kasoro yako ionekane ili asikuoe sababu wanawake wanatabia ya kumbambikia mwanaume,anatombwa huko weeee hlf akija kwako utasikia eti nioee PUMBAVU,mwanaume msomi/mwenye akili timamu ni jamii ya wanaume wanaotumia akili nyingi sana kabla ya kuamua kuoa...atakumbuka upuuzi wako wote uliokuwa unafanya kipindi cha mahusiano na mazuri yako kuona kama kweli unastahili au akupige chini tu,huna sifa hasa za kumfanya aone ni mhm kukimbilia ndoa labda kiburi,labda alifuma msg yako ya kijinga miaka 4 iliyopita,labda uliwahi kuwa baamedi na anajua,labda hujui kupika yaani akikuangakia haoni hata sababu ya kuwahi ndoa kwahiyo anasubiri subiri kabla ajaingia kwenye ndoa kuanza kuboreka..
Gotcha!!
 
A life long commitment that this is my better half, twin heart and a suitable counterpart, si suala rahisi sana.. kuchepuka ndiyo kupo sijakataa, na ndo maana hata anaechepuka hapendi mkewe ajue.. Point ya msingi hapa ni kuwa mtu aone mwenyewe kuwa huu ni wakati wangu wa kuoa bila kushurutishwa au kufuata external pressure.. hii inaweza kuwa tofauti kwa wanawake kwani wao kuolewa kwa kweli suala la umri ni kigezo kikubwa sana na ukishakupita umepitwa..
oh, i see
 
Japokuwa huwa wanasema hawajapata wenza sahihi ila kwa upande wangu naona wengi wanakuwa bado wanapenda kuwa huru hivyo wanajua wakioa watabanwa banwa.

Yaani zile za kurudi home saa sita na saa saba hazitakuwepo.

Wacha weee.
Ndani ya ubora wako
Mwali ngoja zamu yako tukuone
 
Kuoa n jambo ambalo lina hitaji kuchukua
Maamuzi magumu Sana.
Yaani kuwaa acha wazazi wako na kuambatana na mkeo???
Kichwa kinauma Sana
Moyo ndo pata shika nguo kuchanika
But siku ya harusi ni nzuri Sana kuliko zile za ndani ya ndoa.
 
Back
Top Bottom