Ni muda upi sahihi kwa mwanaume kuoa.?

Ni muda upi sahihi kwa mwanaume kuoa.?

kuoa au kuolewa ni kumkabidhi nusu ya uhuru wako mtu mwingine so lzm ujiulize sana ukikrupuka hata uoe/uolewe na maraika mtaachana tu.
Hakuna mwanadam ambaye yupo huru dunia hii. Huwa tunajidanganya tu na kujipa tunaosema ni Uhuru. Kila kitu kina mipaka. Ulipokua tumboni hukuweza kusema sasa naamua kutoka mwenyewe ulikua chini ya uangalizi, ulopozaliwa pia na kukua ukawa chini ya wazazi, ulipokua shule chini ya walim na wazazi, ulopomaliza na kuingia chuo ukaona sasa nakua huru maana naweza kuishi nitakavyo. Lakini kuna Mungu aliyekuleta huyo ndo unabaki naye maana unakua tayari una akili ya kujua hili jema hili baya. Sasa unakua na choice umfate Mungu au ufate vile unataka huko unaposema upo huru. Ukifata unavyotaka ndo unaambiwa mahali utaishia ukifa. Sasa ili usidange na kumkosea Mungu ndo mana ukaambiwa uoe ili muwe mnakontroliana mke na mume. Ukija kwenye serekali ndo kabisa utaambiwa hakuna kuandamana...
 
KIS
Japokuwa huwa wanasema hawajapata wenza sahihi ila kwa upande wangu naona wengi wanakuwa bado wanapenda kuwa huru hivyo wanajua wakioa watabanwa banwa.

Yaani zile za kurudi home saa sita na saa saba hazitakuwepo.
Hiko kisababu cha uhuru kinaniudhigi basi tu🙁
 
🙄
 
Kuoa is the only act to leverage one's life. If you marry you will always get MORE from LESS
- free sex
- free advice
- free laundry service
- free well cooked food
- respect (baba mwenye nyumba, mama mwenye nyumba)
- Children
- indeed utatumia pesa na ku sacrifice uhuru wako but unatengeneza maisha

Usipooa/olewa
- utakuwa na uhuru wa kuruka ruka na kupoteza mda na pesa zaidi bila output yoyote.. mwishowe ni frustration tu na baadae uje kuonea wivu waliojenga familia zao
Lakini siku ukikaribia kwenda kwa muumba wako ndo kabisaa mambo yatakua yanaenda mrama. Maana yote uliyoyafanya unaona hayana maana zaidi umepoteza muda. Wakati aliyeenda na taratibu anakua na peace of mind maana alienda sawa sawa. Ana mke, ana Watoto , amejijenga nk.
 
A life long commitment that this is my better half, twin heart and a suitable counterpart, si suala rahisi sana.. kuchepuka ndiyo kupo sijakataa, na ndo maana hata anaechepuka hapendi mkewe ajue.. Point ya msingi hapa ni kuwa mtu aone mwenyewe kuwa huu ni wakati wangu wa kuoa bila kushurutishwa au kufuata external pressure.. hii inaweza kuwa tofauti kwa wanawake kwani wao kuolewa kwa kweli suala la umri ni kigezo kikubwa sana na ukishakupita umepitwa..
Wanaume kigezo cha umri hakiwahusu ?
 
Hivi ni swali kwa wanaume tuu eeeh?
Ila kuoa ni mtihani ambao kuufaulu ni lazima upate mwanamke aliye sahihi.
Ukikosea kuoa au kuolewa utajuta maisha yako yote.
Nadhani watakuwa wanaogopa kujuta
hapana ni kwa pande zote.
 
Habari, ni thread yangu ya kwanza humu. naomba majibu bila kutoka nje ya mada tafadhali.

Unaeza kuta mwanaume ana jitosheleza karibia kila mahitaji muhimu ana nyumba, ana kazi na anae mpenzi ambae yupo nae kwa muda mrefu tu, lakini likija suala la kuoa anakwambia bado yupoyupo. Hivi huwa munaangaliaga nini hasa?
ugeni wako usiwe sababu. baada tu ya kusoma kichwa cha habari sikutaka kuendelea.
na jibu lako unalostahili ni "saa saba mchana"
karibu jamvini!!
 
So ndoa n process inategemea huo mchakato utakufikia ukiwa na Nan or ukiwa wapi?
Asilimia kubwa ya wapenx huwa hawaoan! Japo wakiwa kwenye mahusiano upeana ahadi kedekde za kuoana!!
Tena now dayz wanaume wajanja uja na gia ya kusema ntakuoa na kuanxa kukuita wife!
But akitaka kuo mmmh in kama suprize!!

So mleta maada tambua ndoa c kitu cmple kama unavyofikir!
Binafs mke wangu hata sijuh nilmpataje!/nilikuwa na plan za kumwoa niliyemzalisha but ikashindikana!
Nikawa na malengo nimwoe jack ikashjndikana nikajikuta n mefall kwa MTT mwingine kabisa ambaye sikutarajia!!!
Nampenda na yeye ananpenda!
Na hiyo ndo siri ya ndoa! Pata MTU ambaye mnapendana ukisema umwoe mwajuma kisa anatako kubwa tambua akiugua malaria tako litapukutika utshangaa unamchukia sasa!
Also ukisema uolewe na James kisa ana gari tambua gari litapata ajal sasa cjuh itakuaje!

Also ndoa n kifungo cha NAFSI
umemaliza
 
kuoa si kitu cha kukurupuka,pili umri wa kuoa anahisi bado,tatu yupo na mwanamke anayelazimisha ndoa,hamnakitu kinakera km mwanamke anaelazima ndoa yaani utachunguzwa wewe mpk kasoro yako ionekane ili asikuoe sababu wanawake wanatabia ya kumbambikia mwanaume,anatombwa huko weeee hlf akija kwako utasikia eti nioee PUMBAVU,mwanaume msomi/mwenye akili timamu ni jamii ya wanaume wanaotumia akili nyingi sana kabla ya kuamua kuoa...atakumbuka upuuzi wako wote uliokuwa unafanya kipindi cha mahusiano na mazuri yako kuona kama kweli unastahili au akupige chini tu,huna sifa hasa za kumfanya aone ni mhm kukimbilia ndoa labda kiburi,labda alifuma msg yako ya kijinga miaka 4 iliyopita,labda uliwahi kuwa baamedi na anajua,labda hujui kupika yaani akikuangalia haoni hata sababu ya kuwahi ndoa kwahiyo anasubiri subiri kabla ajaingia kwenye ndoa....wanawake inabidi waelewe wanaume wengi hawaoi mwanamke sababu amedumu nae miaka 5 bali anaoa mwanamke sababu anafaa kuolewa...sasa wewe dumu na mwanaume miaka 5 huku ukionyesha kiburi,dharau,tabia za kupenda hela wkt huna hata mawazo ya kumshauri namna ya kutengeneza hela, anakuchora weeeee mwisho wa siku anapiga chini anaoa mwenye akili timamu...mjichunge sana na wanaume,tunatumia akili sio hisia...
 
Hakuna mwanadam ambaye yupo huru dunia hii. Huwa tunajidanganya tu na kujipa tunaosema ni Uhuru. Kila kitu kina mipaka. Ulipokua tumboni hukuweza kusema sasa naamua kutoka mwenyewe ulikua chini ya uangalizi, ulopozaliwa pia na kukua ukawa chini ya wazazi, ulipokua shule chini ya walim na wazazi, ulopomaliza na kuingia chuo ukaona sasa nakua huru maana naweza kuishi nitakavyo. Lakini kuna Mungu aliyekuleta huyo ndo unabaki naye maana unakua tayari una akili ya kujua hili jema hili baya. Sasa unakua na choice umfate Mungu au ufate vile unataka huko unaposema upo huru. Ukifata unavyotaka ndo unaambiwa mahali utaishia ukifa. Sasa ili usidange na kumkosea Mungu ndo mana ukaambiwa uoe ili muwe mnakontroliana mke na mume. Ukija kwenye serekali ndo kabisa utaambiwa hakuna kuandamana...
uko sahihi kiasi lkn unakosea kitu kimoja uhuru una vipimo kama ilivyo pesa wewe ukisema huna pesa si sawa na Mengi akisema hana pesa, sijui naeleweka? ngoja nikupe mfano unaofanana na tunachozungumza.

wewe na mfungwa gerezani hamna uhuru lkn hamlingani. wakati wewe angalau unauhuru wa kujiamlia pa kwenda mfungwa hana huo uhuru. wakati wewe unaamua utalala sangapi mfungwa hana uhuru huo.

nimesema unagawa nusu ya uhuru wako means kila mtu anakipimo chake cha uhuru hiyo mipaka uliyo sema.

tukiweka kwenye namba kama uhuru kamili ungekuwa 100 let say kabla hujaoa ulikuwa na 20/100 basi ukioa/kuolewa jiandae kugawa hiyo 20 ibaki 10/100. nadhani umeelewa sasa ninachokiongea.
 
tumeishi miaka kumi kisheria hiyo ni kama mume na mke, alafu eti unakuja kumpa excuse kwamba nikioa sitokuwa huru. my take. unawezaje kuishi na mtu kwa muda mrefu kiasi hicho bila ndoa kwa kisingizio cha uhuru / kuhofia kubanwa?
Huyo kachokwa/
 
Japokuwa huwa wanasema hawajapata wenza sahihi ila kwa upande wangu naona wengi wanakuwa bado wanapenda kuwa huru hivyo wanajua wakioa watabanwa banwa.

Yaani zile za kurudi home saa sita na saa saba hazitakuwepo.
kwani ukioa unazuiwa kurudi saa 6?!!!! ishu ni uwe umetoa taarifa basssiii....na si kila siku....friday a must...
 
Back
Top Bottom