Ni muda upi sahihi kwa mwanaume kuoa.?

Ni muda upi sahihi kwa mwanaume kuoa.?

nili
Unakaa na MTU miaka 10 lakin hata kukuoa hajakuoa (Japo kiserikal inahesabika ndoa)
Yaaan mda wowote anaweza kukuacha!
Kuna jiran yangu alimwumizaga MTU wake hivi hivi!
Walikaa wote kwa miaka zaid ya 20 coz walizaa na watt kabisa!
But yule jiran akatangaza ndoa tukadhan anamwoa huyo anayekaa naye matokeo yake yule aliyezaa naye alaifukuzwa akaletwa mwingine aliyeolwea!
Na k logic inaletaa maana!
nilichojifunza hapa ni kwamba hakuna mapenzi ya dhati kabla ya ndoa.
 
Ajali ni ajali tu hata kama ukikosea kuoa/ kuolewa na mtu asiye sahihi nayo ni ajali pia.
 
tumeishi miaka kumi kisheria hiyo ni kama mume na mke, alafu eti unakuja kumpa excuse kwamba nikioa sitokuwa huru. my take. unawezaje kuishi na mtu kwa muda mrefu kiasi hicho bila ndoa kwa kisingizio cha uhuru / kuhofia kubanwa?
 
Gari anaweza kulibadilisha any time akipenda, nyumba anaweza kusema bomoa hapa, jenga vile, au uza hii, nunua ile, kazi unaweza kusema hii siitaki naomba nyingine, mkoa huu siupendi nahamia ule.. hapo kwenye kuoa sasa, commitment ya maisha ..aisee acha tu wachukue muda wao na kujiridhisha kuwa hapa ndo hasa najicommit.. na hata akipewa nafasi ya kuchumbia na kuoa tena aseme bila shaka kuwa angemchumbia na kumuoa huyo huyo..
 
Hili suala nadhan ni la kisaikolojia zaidi sio suala la umri. .
jinsi akili ya mtu husika inavyomwambia ndivyo atakavyofanya uamuz wa kuoa.
 
kwakweli.!! haina haja kujichelewesha kwa viExcuse vya ki-jinga
Kama umri na maisha yapo sawia umekutana na mtu sahihi oa /olewa hakuna malaika hapa chakugua chagua mwishowe unaangukia sipo, na wale wanaochagua sana matokeo yake huangukia sipo kabisa kuna me 1 mpaka leo husema nilikuwa nataka mke wa hivi na huyu hata wazo sikuwa nalo naye lakini si huyu hapa, yaani hapo ni basi tayari na ndoa ipo huyo anaumia moyoni mwake
 
Gari anaweza kulibadilisha any time akipenda, nyumba anaweza kusema bomoa hapa, jenga vile, au uza hii, nunua ile, kazi unaweza kusema hii siitaki naomba nyingine, mkoa huu siupendi nahamia ule.. hapo kwenye kuoa sasa, commitment ya maisha ..aisee acha tu wachukue muda wao na kujiridhisha kuwa hapa ndo hasa najicommit.. na hata akipewa nafasi ya kuchumbia na kuoa tena aseme bila shaka kuwa angemchumbia na kumuoa huyo huyo..
what commitment exactly!! mana kikawaida sio ajabu kwa mwanaume aliyeoa kuchepuka( kutoka nje ya ndoa) lakini anakwambia ntakosa uhuru 😕, Anyways pengine hili swala linategemea na imani huh? kwa wakristo naeza kubali mana wao ndoa zao hazina talaka!!!
 
Habari, ni thread yangu ya kwanza humu. naomba majibu bila kutoka nje ya mada tafadhali.

Unaeza kuta mwanaume ana jitosheleza karibia kila mahitaji muhimu ana nyumba, ana kazi na anae mpenzi ambae yupo nae kwa muda mrefu tu, lakini likija suala la kuoa anakwambia bado yupoyupo. Hivi huwa munaangaliaga nini hasa?
Uoga tu wa maisha hakuna kingine. Au unakuta hajampenda MTU aliye naye so anakua hana uhakika kama ndiye. Lakini msukumo mkubwa ni swala la dini. MTU unapaswa uoe haraka kwa sababu hairuhusiwi kuishi na mwanamke bila ndoa. Lakini la mwisho ni maadili kwamba si vyema kuishi na Mtt wa watu bila kumuoa ili kumpa heshima mwanamke na wazazi wa pande mbili. Kama mwanaume ana maadili hayo lazima aitunze heshima ya wazazi na Mungu na kwake pia kwa kuoa. Maana unaweza kuishi na Mtt wa watu yakatokea ya kutokea unaanza kuhaha. Lakini pia unaweza kufikiria hivi kweli naishi na Mtt wa watu bila ndoa halafu ikifika Ijumaa naenda kusali au ikifika ramadhani nafungaje? Au kama ikifika jumapili naendaje kusali wakati namkosea Mungu? Si huku ni kumchezea Mungu kweli? Kwahiyo kama una maadili ya dini lazima utafute mwanamke uoe. Kujua anafaa au hafai ni rahisi ukiomba utaonyeshwa. Vijana wasiogope kuoa maana mwanaume lazima uweze kuishi na mke na hicho ndo kipimo cha mwanaume na uwe na Watoto. Karibuni
 
what commitment exactly!! mana kikawaida sio ajabu kwa mwanaume aliyeoa kuchepuka( kutoka nje ya ndoa) lakini anakwambia ntakosa uhuru 😕, Anyways pengine hili swala linategemea na imani huh? kwa wakristo naeza kubali mana wao ndoa zao hazina talaka!!!
A life long commitment that this is my better half, twin heart and a suitable counterpart, si suala rahisi sana.. kuchepuka ndiyo kupo sijakataa, na ndo maana hata anaechepuka hapendi mkewe ajue.. Point ya msingi hapa ni kuwa mtu aone mwenyewe kuwa huu ni wakati wangu wa kuoa bila kushurutishwa au kufuata external pressure.. hii inaweza kuwa tofauti kwa wanawake kwani wao kuolewa kwa kweli suala la umri ni kigezo kikubwa sana na ukishakupita umepitwa..
 
maisha yamebadilika sana
tokea miaka hiyo hadi sasa,

miaka ya zamani waliwai kuoa/kuolewa

miaka ya sasa changamoto ni nyingi mno,

muingiliano umekuwa mkubwa sana na tamaduni za wenzetu,

huwa tunacopy na kupest life style za wenzetu,

hizi haki sawa nazo ndo kabisa zimeharibu,,

wanawake wanataka haki sawa,

ila iyo haki sawa wanaitaka ktk mambo matam matam, mfano, kumiliki mali,kufanya kazi,

hii ya kufanya kazi ndo mtihani unaanzia hapo,, boss anataka apige, unazani nn kitatokea?

kazi ngumu za mitaro, kuzibua vyoo, kuchimba shimo, utasikia hizi kazi za kiume,

nyoka akiingia ndani lazima aitwe mtoto wa kiume,

[emoji16] [emoji15] [emoji16]



[emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
tumeishi miaka kumi kisheria hiyo ni kama mume na mke, alafu eti unakuja kumpa excuse kwamba nikioa sitokuwa huru. my take. unawezaje kuishi na mtu kwa muda mrefu kiasi hicho bila ndoa kwa kisingizio cha uhuru / kuhofia kubanwa?
 
Miaka 18 n muhimu kijana kuoa! Kwa wale wa kijijin
But kwa wale wa mijin miaka 24
Lakin kwa wale ambao wanategemea mission town huwa hawaoag wao n kuzaa na kutelekeza!
Wale watt wa mama morn mpaka night wanategemea home huwa wanao na miak 32+...
Tena oa yao n pale watakapofiw na wanaowategemea or kupat skendo za kudate na wapanganj or vtt
Ama Kweli mchawi mkuu
At d age 24 uwe umeoa i guesss utakua mwarab au mhind/village boi yan
Unaoa/kuozeshwa dada ako...ili kulinda mali zisipotee..
Cc wabongo hua umri huo ndio kwanza tuko chuo tukitafuta degree..
 
Back
Top Bottom