ni mtazamo tu!

ni mtazamo tu!

napata wazo kwamba wanaume wengi miaka hii huoa wanawake malaya?.nafikiri mwanamke malaya ni yule ambae ametembea nje ya ndoa au kabla ya ndoa. siku hizi mtu unaoa mwanamke ana maex watatu ,saba au hata zaidi! sasa
utasema hujaoa malaya?.
mbaya zaidi ukitaka ambaye sio malaya unaambiwa umba wako!. je wewe umeoa au unatarajia kuoa malaya?. tafakari, chukua hatua. ni mtazamo zamo zamo wanajamvi msiogope kivuli, bora ukemee mabaya na usifie maazuri.

zero. brain !
 
Unamuongelea vipi mwanaume anaechezea na kuacha? kwanini mwanamke peke ake aonekane hivo, tafadhali muanze kuheshimu wanawake sasa maana kashfa mbovu mbovu juu ya wanawake zimezidi.
 
Unamuongelea vipi mwanaume anaechezea na kuacha? kwanini mwanamke peke ake aonekane hivo, tafadhali muanze kuheshimu wanawake sasa maana kashfa mbovu mbovu juu ya wanawake zimezidi.

Kumbe una hasira eeh?
Nilikuwa nakutafuta..
 
Back
Top Bottom