Ni msemo gani unaokupa nguvu zaidi ukiwa kwenye shida

Nitayainua macho yangu nitazame milima,msaada wangu utatoka wapi?msaada wangu u ktk bwana aliyezifanya mbingu na nchi,
Bwana ni nuru yangu na wokovu wangu, Nimwogope nani? Bwana ni ngome ya uzima wangu, Nimhofu nani?
Usipende usingizi usije ukawa maskini; Fumbua macho yako nawe utashiba chakula
 
dear hiyo Zaburi 121 naipenda sana ndio kimbilio langu.UBARIKIWE
 
Nitafanya njia pasipo na njia. Nitakuwa adui wa adui zako na Isaya 54 yote.Hakika unitia moyo.
 
Warumi 8:37 " Katika hayo yote nimeshinda na zaidi ya kushinda katika yeye anipendaye".
" in all these things we are more than conquerors through him who loved us".
 
Isaiah 41:10 don't b afraid I am with you...I am your God..Let nothing terrify u....I'll make you strong and help you .
 
Kwakua wewe ulishinda hata mimi nitashinda. Usiniache niabike mungu wangu kwani tumaini langu nikwako.
 
Back
Top Bottom