Mahusiano yako ya sasa yana tofauti gani na ya kipindi cha nyuma?

LA7

JF-Expert Member
Aug 26, 2019
457
1,708
Kuna misemo ipo mingi ila mojawapo ni hii.

Karuka mkojo kakanyaga mavi, au ya leo afadhali ya jana, au asante mungu kwa kunishushia ule mzigo

Je, mahusiono yako yapo katika hali gani tofauti na nyuma?

Kusema kweli mimi huyu ninayeishi naye kwa sasa ni ule msemo wa kuvumiliana.
 
Screenshot_20231213-224311.jpg
 
Mambo yanaenda tu, miaka mitano ya upenzi na uchumba, miaka sita ya ndoa, mambo yanaenda na zege halilali
 
Back
Top Bottom