Ni msemo gani unaokupa nguvu zaidi ukiwa kwenye shida

When the going gets tougher, the tougher also gets going.
Ukiona giza linazidi, ujue kupambazuka kunakaribia.
A wise man falls seven times but he still rises up.
Hope is the last thing to give-never give up.
Mapenzi yake yatimizwe
By any means necessary

vile vile I found soooooo much inspiration in the following books:
The book of Job (Ayubu)
Pappilon & Banco
Long Walk to Freedom
Arabian Nights
Oliver Twist

Nikiwa down sana pia naangalia hizi movies kwani zinanipa fighting spirit na kunifariji sana
"The Shawshank Redemption"
"Rounders"
"Pursuit of Happyness"
 
"Bwana ni Mchungaji wangu, sitapungukiwa na kitu. ... Hata niwapo katika bonde la uvuni wa mauti, yeye hunilinda" (Zaburi 23).
 
"life is long way to go". i got this statement from my daddy an i always use when i have problem. RIP Daddy
 
Isaiah:59.1- Surely the arm of the Lord is not too short to save, nor his ear too dull to hear.
 
Back
Top Bottom