mmh misifa tuu...unatamanisha wenzako wana njaa!!...ha h ahha,...pwani joto yakhe, raha ya pwani uvae msuli, kisha zafwatiwa na raha raha kama hizo.
Taarabu, wali wa asumini, chai ya viungo, vipo poo, visheti na vileja...raha mustarekhe.
Miezi michache ilopita nilipewa recipe ya Milkshake ya Tende (Dates)...shughuli yake si ndogo kaka.
Matairi makubwa yaendane na gari sasa mitairi ya tingatinga kwenye vitz ya nini?Gaga hupendi matairi makubwa? siyo kuwa ndiyo yanafaa hayo kupasua njia!.
huyu Arafat hawezi nufaika na msamaha wa rais ni Fataki mzoefu,huyu atakuwa na simu yenye internet jela kwa kificho lol!Nadhani jamaa ni kati ya walionufaika na msamaha wa rais !!
Anamaanisha alipofika Tanga akapata mwanamke mzuri mweuc ambaye wamecheza kibaba kinyume cha maumbile,kwahiyo anauliza, upo mkoa mwengine ambao wanafanya mchezo huo?Ndo nini sasa umeeleza hapa maana sijaelea kabisa
'Arafat ogopa magari ya Dar ....huwa na mabody mazuri ila Engine ziko used sana unaweza kuona hummer ila mileage ni kubwa mno sababu ya kushushwa Engine na overhaul za mara kwa mara!'
Mkuu umenena ya Dar ni body tu engine kushne yaani unakuta clutch laini kama avocado halafu kelele nyingi wakati milima hakuna. Wizi mtupu.Ila we wa Tanga isiwe umekutana na yule ninaemtumiaga nikiwa huko hebu nipe Namba yake ukimtaka ulizia pale Mtendele Hotel jina linaanza na A. kazi anaijua ila jiandae kurudi Loliondo.
huyu Arafat hawezi nufaika na msamaha wa rais ni Fataki mzoefu,huyu atakuwa na simu yenye internet jela kwa kificho lol!
Hahaha! nimestaafu kwa sasa lakini nitaandika kitabu mambo ya Dism kama wanavyoita wenyewe ni hatari ya danger usisahau kufunga mkanda lol!Uporoto01 Unauwa! sawa Mkuu ila wewe hujatwambia Uzoefu wako maana inasemekana wewe ni mtaalam wa kuedesha tax za Dar es Salaam.
Hahaha! nimestaafu kwa sasa lakini nitaandika kitabu mambo ya Dism kama wanavyoita wenyewe ni hatari ya danger usisahau kufunga mkanda lol!