Ni Mkoa gani utazidi Tanga Tanzania!

mengi gauge zimesoma!na ni ya mizigo....speed 20 mwisho!

Za mizigo zina ubaya gani ukiendesha mkuu? kwani Dereva si dereve tu! au leseni yako hairuhu kuendesha magari ya mizigo! utakuwa na Class D ya Tanzania wewe.
 
'Arafat ogopa magari ya Dar ....huwa na mabody mazuri ila Engine ziko used sana unaweza kuona hummer ila mileage ni kubwa mno sababu ya kushushwa Engine na overhaul za mara kwa mara!'

Mkuu umenena ya Dar ni body tu engine kushne yaani unakuta clutch laini kama avocado halafu kelele nyingi wakati milima hakuna. Wizi mtupu.Ila we wa Tanga isiwe umekutana na yule ninaemtumiaga nikiwa huko hebu nipe Namba yake ukimtaka ulizia pale Mtendele Hotel jina linaanza na A. kazi anaijua ila jiandae kurudi Loliondo.
 
...ha h ahha,...pwani joto yakhe, raha ya pwani uvae msuli, kisha zafwatiwa na raha raha kama hizo.
Taarabu, wali wa asumini, chai ya viungo, vipo poo, visheti na vileja...raha mustarekhe.

Miezi michache ilopita nilipewa recipe ya Milkshake ya Tende (Dates)...shughuli yake si ndogo kaka.
mmh misifa tuu...unatamanisha wenzako wana njaa!!
 
:A S 39::A S 39::A S 39::A S 39::A S 39::A S 39: naona kina mbu wanachangia mie nimeshindwa kuelewa topic ,
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
tatizo Tanga unaweza ukakuta imeegesha ukajuwa baloon ... kumbe engine FIAT
 
'Arafat ogopa magari ya Dar ....huwa na mabody mazuri ila Engine ziko used sana unaweza kuona hummer ila mileage ni kubwa mno sababu ya kushushwa Engine na overhaul za mara kwa mara!'

Mkuu umenena ya Dar ni body tu engine kushne yaani unakuta clutch laini kama avocado halafu kelele nyingi wakati milima hakuna. Wizi mtupu.Ila we wa Tanga isiwe umekutana na yule ninaemtumiaga nikiwa huko hebu nipe Namba yake ukimtaka ulizia pale Mtendele Hotel jina linaanza na A. kazi anaijua ila jiandae kurudi Loliondo.

Mkuu umeniongezea siku kwa furaha! sasa nijiandae kwenda Loliondo kufanya nini? umepatia herufi A ila sijui kama ndie! labda ongeza herufi ya pili.

Bahati mbaya sana siamini Loliondo Mkuu, hivyo sikukwenda wala sinto enda milele. Udereva ni baraka ya mungu huwezi kufa kwa kuwa dereva kuna watu wanapenda kuwa madereva lakina hawawezi hata kuingiza gear Na.1 ni kusinzia tu! Kifo kipo tokea kuumbwa kwa dunia.
 
Anamaanisha alipofika Tanga akapata mwanamke mzuri mweuc ambaye wamecheza kibaba kinyume cha maumbile,kwahiyo anauliza, upo mkoa mwengine ambao wanafanya mchezo huo?

Ahaa we washawasha muongo sana! Unachafua habari hapa.
 
huyu Arafat hawezi nufaika na msamaha wa rais ni Fataki mzoefu,huyu atakuwa na simu yenye internet jela kwa kificho lol!

Uporoto01 Unauwa! sawa Mkuu ila wewe hujatwambia Uzoefu wako maana inasemekana wewe ni mtaalam wa kuedesha tax za Dar es Salaam.
 
Uporoto01 Unauwa! sawa Mkuu ila wewe hujatwambia Uzoefu wako maana inasemekana wewe ni mtaalam wa kuedesha tax za Dar es Salaam.
Hahaha! nimestaafu kwa sasa lakini nitaandika kitabu mambo ya Dism kama wanavyoita wenyewe ni hatari ya danger usisahau kufunga mkanda lol!
 
tatizo Tanga unaweza ukakuta imeegesha ukajuwa baloon ... kumbe engine FIAT

Engine ya Fiat kwenye Ballon Mkuu siyo hatari hiyo? sijui kama gear zitaingi hapo! au zikiingia zinaweza kung'ang'ania humohumo!
 
Hahaha! nimestaafu kwa sasa lakini nitaandika kitabu mambo ya Dism kama wanavyoita wenyewe ni hatari ya danger usisahau kufunga mkanda lol!

Mkanda lazima ingawa madereva wazoefu mara zote tunasahau mikanda na kujifanya wataalam katika uskani na kufumuwa gear.

Mzee zuma alisema Mkanda siyo lazima, kuwa muhimu ni kuwai kuruka kabla ya ajali ni kweli Mkuu?
 
:A S 39::A S 39::A S 39::A S 39::A S 39::A S 39: naona kina mbu wanachangia mie nimeshindwa kuelewa topic ,

We ni Firstlady wa nchni gani? labda tatizo ni huko uliko! Lazima utakuwa siyo wa huku bongo wala East africa.
 
Matairi makubwa yaendane na gari sasa mitairi ya tingatinga kwenye vitz ya nini?

Nimekuelewa, ila najua kuna madereva vichaa wa mataili, wao bila taili kubwa hawaendeshi gari, sasa sijui kwako itakuwavipi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom