misosi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. X

    JamiiForums Tanzania Bwana Misosi akiwa bado underground aliwezaje kuwapata wasanii wakubwa walioonekana katika video yake "Nitoke vipi?"

    Kati ya matukio ya kisanii ya Bwana Misosi ambayo hatakuja kusahau, akiwa bado mchanga kisanii na ndio ametoa hit song yake ya kwanza "Nitoke Vipi." Ni love aliyoonyeshwa na wasanii wakubwa wa wakati huo ambao wengi aliwataja kwenye ngoma yake na wakajitokeza kwenye video. Kwa msanii...
  2. Sisa Og

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tufocus Kwenye Pesa, Misosi na Burudani Mapenzi Ni Scam

    Hii ndo kauli ntamwambia mwanangu. Ntahakikisha naharibu na kusambaratisha hisia za kuzingatia dem au boy kutokana na jinsia yake. Ntamwambia asije kumpa mtu moyo wake hata siku moja. Ntamwambia kwa kutuimia mifano. Naanza na hii: Ukipita sokoni utakuta kina mama kibao wanauza michicha na...
  3. ukwaju_wa_ kitambo

    JamiiForums Tanzania Nitoke vipi " Bwana misosi"

    UKWAJU WA KITAMBO NITOKE VIPI - BWANA MISOSI FT HARD MAD VS NIMECHEZEA BAHATI - MAN X FT DULLY SYKES.. ______________________________ studio ya Bongo Records ndiyo nyumba kuu ya upishi huu wenye maisha mazuri katika usikivu imara mpaka leo hii. Ni wazi miongoni mwa wasanii waliowahi...
  4. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimekoma kula misosi ya dezo toka kwa mademu wa kibongo, ni hatari nilidhani napendwa kumbe ndio wananiumiza

    Mwenzenu nimejifunza sasa na nimekoma kwa yaliyonitokea, nimekuwa na mahusiano na wadada tofauti katka nyakati tofauti, lakini kitu kimoja tu kinafanana katika hao wote ninao kuwa nao nacho ni kuwa mara tu napokuwa nao basi hilo kosa lazima ataenda kunitengeneza ili nimpende zaidi na technic...
  5. kyagata

    JamiiForums Tanzania Hivi huko Marekani hawana misosi mingine zaidi ya mikate na jamii ya vyakula vya ngano?

    Nina safari ya kama week mbili huko Boston marekani, nimejaribu kucheki vyakula vyao huko naona wanakula vyakula vyenye ngano zaidi na mimi sio mpenzi wa vyakula vyenye jamii ya ngano. So nauliza wenye experiences za huko, hakuna misosi mingine zaidi ya hiyo kama ugali,wali etc?
  6. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Misosi ya nguvu

  7. puker

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Namna nilivyoweza kuacha POMBE, na kuamua starehe yangu iwe MSOSI

    Habar za muda huu, ndugu zangu wana JF. Kama tujuavyo tuliowengi ikifika mwishoni mwa mwaka...tunakwaida ya kujitathmini yale tuliyoyafanya kwa kipindi cha mwaka mzima. Katika nyanja ya mafanikio, uzembe/jitihada tulizozifanya katika kutimiza malengo tuliojiwekea. Sasa katika kujitathmini...
Back
Top Bottom