Lyamber
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 11,716
- 18,754
Mimi sikucheki nataka nijue ni wapi maana kila mjanja ana mjanja wake iweje mdada wa mjini ukamatike kwa huyo jamaaSitakii ulivyo na maneno utanicheka bure
Mimi sikucheki nataka nijue ni wapi maana kila mjanja ana mjanja wake iweje mdada wa mjini ukamatike kwa huyo jamaaSitakii ulivyo na maneno utanicheka bure
HahahahahaaaYani mkoani ukitongoza manzi wa mtu huyo jamaa yake hua anapaniki mbaya sana, kuna mchuchu mmoja nilimsoundisha jamaa alipaniki yani aliwatumia watu kama 5 tofauti hivi wanitafute mpaka nikawa na wauliza hivi huko mikoani hakuna wanawake...
Hahahaha nizimika na mauno ya kingoni wewe Lyamber halaf mimi sio wa mjini wa Mwanza hukuMimi sikucheki nataka nijue ni wapi maana kila mjanja ana mjanja wake iweje mdada wa mjini ukamatike kwa huyo jamaa
Anhaa hao wengi ni wapenda wanawake, kumbe nawe ni wa mkoani ndo mana mnaelewana..eeeh mimi ni typical mwanaume wa dar...tunakula muhindi na ndimuHahahaha nizimika na mauno ya kingoni wewe Lyamber halaf mimi sio wa mjini wa Mwanza huku
halaf nawe ni mwanaume wa dar?
Wanaume wa dar hamli vizuriiAnhaa hao wengi ni wapenda wanawake, kumbe nawe ni wa mkoani ndo mana mnaelewana..eeeh mimi ni typical mwanaume wa dar...tunakula muhindi na ndimu
Halafu stress nyingi ndo maana tunakua tunashida na wanawake wanatuvumilia tu sababu wanatuona wajanja na kujisifu sifu kwetuWanaume wa dar hamli vizurii
Mi siwawezi aisee ,mnakunywa sana supu ya pweza na kutanpfuna mihogo mibichiHalafu stress nyingi ndo maana tunakua tunashida na wanawake wanatuvumilia tu sababu wanatuona wajanja na kujisifu sifu kwetu
Atafungua Instagram akaunti nitakujuza pia atajiunga Jamii Forum soon atakutafutaTuwekeni full picha tafadhali
Ova
Naona kama anachelewa mkuu tunataka kuthaminishaAtafungua Instagram akaunti nitakujuza pia atajiunga Jamii Forum soon atakutafuta
Kama kweli huyo ni mrembo basi ndo maana wanaume wa mikoani wakioata wasichana wa Dar hua wanaua watu...
Nyumbani Pub iko mitaa gani namikamuungishe weekend mojaMwanamke huyu mpole,mwenye maadili ya Kisukuma na mfanyabiashara ambae ni mmiliki wa Nyumbani Pub iliyopo wilayani Kahama mkoani Shinyanga ni mlimbwende wa haja na ukiiutana nae utafurahia Kwa jinsi alivyo mcheshi si mwingine Bali sister Miriam.
Ni kipenzi cha watu wote kuanzia watu wazima hadI vijana wafanyabishara wa matunda hadi machinga bila kuwasahau bodaboda
Ndio mgombea udiwani mtarajiwa Kwa mwaka 2020 au ukitokea uchaguzi kabla ya hapo ktk kata maarufu ya Nyahanga wilayani Kahama.
Ajajichagua yeye Bali maoni ya watu yamempendekeza awe mgombea,
Tunawaomba watu wa chama mjiridhishe nae tukizingatia hatupendezi mtu kwa rushwa wala maelekezo ya mtu Bali mtu muwajibikaji
Instagram:kaukwaju
Mkorogo umedunda.Wasukuma bhana washamba sana na wanachanganyikiwa wakiona demu White sasa huyu si wa kawaida tu au Mtoa uzi umechachawa na hii rangi ya mkorogo?
Nikiona mkorogo tuu nazima, uzuri hana na nywele za maiti ndiyo kaharibuMwanamke huyu mpole,mwenye maadili ya Kisukuma na mfanyabiashara ambae ni mmiliki wa Nyumbani Pub iliyopo wilayani Kahama mkoani Shinyanga ni mlimbwende wa haja na ukiiutana nae utafurahia Kwa jinsi alivyo mcheshi si mwingine Bali sister Miriam.