Ni mimi nna kiherehere ama...........

Eeka Mangi

JF-Expert Member
Jul 27, 2008
3,173
481
Yaani sijui ni nini.
Nakaa mchana kutwa najiapiza mi sinywi tena pombe! Nakaaaaaaaaa mpaka saa 12 jioni ghafla kiherehere kinanianza! Kunywa japo bia moja aaaaaah kunywa konyagi! Aaaa basi hata ka sminoff kamoja yaaaaaaani hii ni nini sasa? Kiherehere ama ni ulafi tu! Niko hapa nakunywa Konyagi eti kwani ni mbaya! Kiherehere na kisebusebu papo hapo! Kesho naaapa sinywi pombe!
 
kwanza:jina ID yako inaruhusu kuwa cha pombe...
pili:uko wap nikuje??
 
Funga na kusali hutakunywa hyo kitu... Mimi nilikuwa kama wewe nikaacha sasahvi najinyweaga vi-castle vyangu vi3 tu naenda home.
 
mi nilishaapa hadi nimesema siapi tena...nikipata appetite nagonga moja napotea
 
Kumbe tupo wengi. Kama upo Arusha njoo hapa sakina bar kaunta ya mbele tujumuike kushusha hizi savana bariiiiiiiidi kabisa, usiogope bill ya kwangu..
 
Una will power dhaifu.

Mwanaume wa kweli anapojipangia huwa hatetereki na kwenda kinyume na maamuzi.

Wewe una kilukuli. Yaani huwezi kuifwata kauli yako. Amua kama dume. Kesho hunywi tena na usinywe tuul umur.
 
Ukitamani pombe na ushindwe kuiziwia tamaa yako: tafuta msaada wa kitaalam
Ukinywa chupa mbili za wine (or more) kwa wiki: tafuta Msaada wa kitaalam
Ukinywa zaidi ya bia nne kwa siku moja(50cl each)tena mara 4 kwa wiki au zaidi: tafuta msaada wa kitaalam
U-alcoholic unakunyemelea...
 
Dunia yako chaguo lako, chagua kunywa pombe wikend tuu tena ijumaa na jumamosi peke yake..
 
ugonjwa huo pia ninao,

ila mimi nakuzidi na sigara

sivuti kutwa nzima ila nikitoka ofisini ni noumer

nakinywa bia moko na fegi mbili
 
Una will power dhaifu.

Mwanaume wa kweli anapojipangia huwa hatetereki na kwenda kinyume na maamuzi.

Wewe una kilukuli. Yaani huwezi kuifwata kauli yako. Amua kama dume. Kesho hunywi tena na usinywe tuul umur.

Kha we vipi uanaume wa kweli ndo upi huo. Hawa akina madoctor wa siku hizi wa kichina nini!
 
ugonjwa huo pia ninao,

ila mimi nakuzidi na sigara

sivuti kutwa nzima ila nikitoka ofisini ni noumer

nakinywa bia moko na fegi mbili

Achana na fegi bana. mi nlicha fegi hazina mpango.
 
Ukitamani pombe na ushindwe kuiziwia tamaa yako: tafuta msaada wa kitaalam
Ukinywa chupa mbili za wine (or more) kwa wiki: tafuta Msaada wa kitaalam
Ukinywa zaidi ya bia nne kwa siku moja(50cl each)tena mara 4 kwa wiki au zaidi: tafuta msaada wa kitaalam
U-alcoholic unakunyemelea...

Ngoja nitafute maada wa kitaalamu.Kwa sababu ninatii sana kiu yangu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom