chamlungu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 326
- 340
Wanabodi, leo nasheherekea miaka 13 ya ndoa yangu. Ndani ya kipindi hiki kuna mazuri na mabaya niliyokutana nayo.
Nimekuwa nikijuliza maswali kwa nini watu wanaoana? kwa nini wengine hawaoani? ni lazima kuoa/kuolewa? faida za ndoa ni nini?hivi kuna formula ya ndoa? wadau tusaidiane kuyaweka sawa haya na mengine ambayo unadhani ni muhimu au si muhimu katika suala za la ndoa. Nawasilisha