Ni miaka 13 sasa, embu niambieni...........

Hongera kwa kukaribia kumaliza ngwe ya kwanza. Miaka 15 ya kwanza ni crucial kwani ni kipindi cha uwongo na ukweli kujulikana.kupata watoto.kuongeza elimu.kukabili majukumu mapya na zaidi ni kila mtu kuacha tabia zake binafsi na kuwa na tabia moja ya familia.kuweka na kutekeleza makengo kwa pamoja n.k.
Walio wengi hawajui hata ni kwanini wenzi wao waliwaacha watu wengine na kuwachagua wao. Hawajui hata best colour ya wenzi wao.chakula akipendacho.mambo asioyapenda. Wanaume hawajui birthday za wenzi wao hivyo hata wanashindwa kupeleka japo flowers siku za birthday zao. Wengine wabashindwa shopping kwani hawajui hata size za bra za wake zao. (Shame on you).
Wengine bado wanaripot kwa rafiki /wazazi/ndugu badala ya mwenzi wake. Wengine wabatembea na funguo bado kwani kuna makufuli wamefunga. In Marriage munaongea mambo kwa uwazi na honestly. Marriage sio deal useme unaficha habari ili upate bigger share or profit. Its life commitment.
Faida au hasara utazitengeneza nwenyewe kwa uadilifu wako kwa mwenzi wako.
Swali kwa wenye ndoa.
Hivi ingekuwa maisha ulioishi kwenye ndoa mpaka sasa yakawa ni ndoto na sasa ukaamka ukajikuta bado ni marafiki ni mungu tu ameamua kukuonyesha mwenzi wako atakavyokuwa. Je ungeendele na mipango ya kuoana?
Kama ndio. Hongera sana. Kama hapana basi ujue mna mambo ya kutengeneza sasa.
Angalizo kwa wanaume. Wanaume wanapozeeka wanakuwa wapole ila wanawake wanakuwa wakatili.wakorofi na wenye kisasi.
Hasa baada ya menopause.
 
Wanabodi, leo nasheherekea miaka 13 ya ndoa yangu. Ndani ya kipindi hiki kuna mazuri na mabaya niliyokutana nayo.
Nimekuwa nikijuliza maswali kwa nini watu wanaoana? kwa nini wengine hawaoani? ni lazima kuoa/kuolewa? faida za ndoa ni nini?hivi kuna formula ya ndoa? wadau tusaidiane kuyaweka sawa haya na mengine ambayo unadhani ni muhimu au si muhimu katika suala za la ndoa. Nawasilisha

Pia ungeuliza kwanini wengine wanajuta kuoa/kuolewa na kwanini wengine wanalilia kuoa/ kuolewa
 
Hongera kwa kukaribia kumaliza ngwe ya kwanza. Miaka 15 ya kwanza ni crucial kwani ni kipindi cha uwongo na ukweli kujulikana.kupata watoto.kuongeza elimu.kukabili majukumu mapya na zaidi ni kila mtu kuacha tabia zake binafsi na kuwa na tabia moja ya familia.kuweka na kutekeleza makengo kwa pamoja n.k.
Walio wengi hawajui hata ni kwanini wenzi wao waliwaacha watu wengine na kuwachagua wao. Hawajui hata best colour ya wenzi wao.chakula akipendacho.mambo asioyapenda. Wanaume hawajui birthday za wenzi wao hivyo hata wanashindwa kupeleka japo flowers siku za birthday zao. Wengine wabashindwa shopping kwani hawajui hata size za bra za wake zao. (Shame on you).
Wengine bado wanaripot kwa rafiki /wazazi/ndugu badala ya mwenzi wake. Wengine wabatembea na funguo bado kwani kuna makufuli wamefunga. In Marriage munaongea mambo kwa uwazi na honestly. Marriage sio deal useme unaficha habari ili upate bigger share or profit. Its life commitment.
Faida au hasara utazitengeneza nwenyewe kwa uadilifu wako kwa mwenzi wako.
Swali kwa wenye ndoa.
Hivi ingekuwa maisha ulioishi kwenye ndoa mpaka sasa yakawa ni ndoto na sasa ukaamka ukajikuta bado ni marafiki ni mungu tu ameamua kukuonyesha mwenzi wako atakavyokuwa. Je ungeendele na mipango ya kuoana?
Kama ndio. Hongera sana. Kama hapana basi ujue mna mambo ya kutengeneza sasa.
Angalizo kwa wanaume. Wanaume wanapozeeka wanakuwa wapole ila wanawake wanakuwa wakatili.wakorofi na wenye kisasi.
Hasa baada ya menopause.

aisee i love u for this mchango mzuri unajenga unafundisha kwa bahati mbaya watu kama wewe huwa hawana kimbelembele cha kupost kama wafanyavyo wengi wetu wasio na ya maana hata.USIPOTEE TAFADHALI.
 
nini kimechangia wewe kudumu kwenye ndoa yako miaka 13 sasa?
 
Mpaka leo hii nipo kwenye ndoa yapa ta miaka 5 sijawahi kuona faida hata moja ya ndoa! Msinishangae jamani mimi naona ndoa ni kama ka utaratibu fulani ka maisha kwamba muda ukifika watu watakapitia hako kamfumo! Nionavyo mm ndoa inaongeza majukumu ambayo huleta zaidi stress badala ya furaha! Mungu mwenyewe anapendelea watu waishi utawa au useja japo kama hawawezi ndo waoe au kuolewa ili kuepuka tamaa ya zinaa lakini hata wale walio kwenye ndoa tamaa ya zinaa haiwaisgii!
Kwa ni umejiuliza hayo maswali?, umeoa kweli wewe, mi nilifikiri ungetuambia kuwa nilioa sababu moja mbili tatu, katika miaka 13 ya ndoa nimekutana na changamoto moja mbili tatu, pia baada ya kuoa imenisaidia moja mbili tatu, ukitaka kuoa fanya moja mbili tatu, ili uishi vizuri kwenye ndoa jaribu kufanya moja mbili tatu, likitokea tatizo kwenye ndoa suluhisha kwa njia moja mbili tatu. hayo ndo moja mbili tatu niliyokuwa nategemea kuyapata kwako, lakini nashangaa we unataka kupata kutoka kwa wengine
 
Back
Top Bottom