KERO Ni mateso kwa ajira mpya Halmashauri ya Msalala-Kahama

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Mmeshapewa maelekezo kuwa tar 29 mjitokeze kwa wingi ili kuonesha Dunia
Maajabu aliyoyafanya mama
 
Niwe mkweli sijawahi ona halmashauri wazembe, wala rushwa, wavivu kama halimashauri ya Msalala-Kahama.

Halmashauri hii imegeuka kuwa kilio kwa watumishi wa umma, ukiwa na shida husikilizwi, mtumishi unaonekana kama kibaka.

Ajira mpya walioajiriwa toka February halmashauri hii imegoma kata kata kutoa hela ya kujikimu.

Yaani katika halmashauri zote za Tanzania na mkoa wa Shinyanga ni halmashauri ya Msalala peke yake ambayo imegoma kutoa hela ya kujikimu, wakati ni takwa la kisheria.

Tunaomba Tamisemi mulikeni hii halimashauri, kazi haziendi kabisa halimashauri hapo.

Tamisemi mkikaa kimya na kutochukua hatua, habari mtazipata kwenye platform,wanaharakati mbalimbali.

Halimashauri ya Msalala acheni utapeli toeni hela ya kujikimu.
Mambo ya Tamisenga ni kawaida sana
 
Ngoja nikuulize ajira za mwezi gani na kada ipi?
 
Back
Top Bottom