msalala

Msalala District is a district council in the Shinyanga Region of Tanzania's lake zone established in 2012. The district lies in the middle of the region just north-east of the town of Kahama.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania RESOLVED Shukrani: Halmashauri ya Msalala, Kahama tumelipwa pesa ya kujikimu 100%

    Halmashauri ya Msalala wilaya ya Kahama tumelipwa posho ya kujikimu kwa 100%. Tunashukuru viongozi wa Halmashauri na OWM-TAMISEMI kufanikisha hili. Kazi iendelee!
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Mtendaji, wataalamu na madiwani Halmashauri ya Msalala wapongezwa

    Hongera Bi Rose Manumba, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Msalala, madiwani na wataalamu wote kwa uongozi wenye matokeo unaotanguliza maslahi ya wananchi. Kupitia usimamizi madhubuti wa ukusanyaji wa mapato, kuelekeza rasilimali nyingi kwenye miradi ya maendeleo inayogusa maisha...
  3. Boeing787-8

    JamiiForums Tanzania KERO Ni mateso kwa ajira mpya Halmashauri ya Msalala-Kahama

    Niwe mkweli sijawahi ona halmashauri wazembe, wala rushwa, wavivu kama halimashauri ya Msalala-Kahama. Halmashauri hii imegeuka kuwa kilio kwa watumishi wa umma, ukiwa na shida husikilizwi, mtumishi unaonekana kama kibaka. Ajira mpya walioajiriwa toka February halmashauri hii imegoma kata kata...
  4. RUKUKU BOY

    JamiiForums Tanzania 60% ya watumishi wa Halmashauri ya Msalala hawajapata mshahara

    Leo serikali imelipa mishahara, Chakushangaza zaidi ya 60% ya watumishi wa Halmashauri ya msalala mkoani Shinyanga hawajapata mishahara. Sijajua shida Nini, maana wengine asubui na mapema wamelipwa. Vipi kwenye halmashauri Yako?
Back
Top Bottom