vipanda thamani
JF-Expert Member
- Jul 7, 2022
- 567
- 895
- Thread starter
- #21
Huwezi elewa nisemalo,mpaka ukutane nalo ila sikumojq utaelewa wanadam ni wajanja sana ogopa sana matapeli wa mapenzi.Watu wanapambana na maisha magumu, wewe unaleta akili za mpango maalum sijui wa nini!?, au ndo zile changamoto za Afya ya akili!?,., ndoa imekuwa tatizo siku hizi bila kujali dini Wala dhehebu, anakuja mtu analeta story za sijui mpango wa kudhoofisha ukristo, unaishi sayari gani mwenzetu!?,hiihii?