Asili ya familia yet huko ilipotoka hasa ulipoanza kuingia ukristo nchini palitokea mgawanyiko uliosababisha ndugu zetu wengine kuwa waislam na wengjne wakristo. Kwa miaka yote hii tunaishi vizuri . Sijawahi kuskia baba au mama akituhamasisha kuwatenga ndugu zetu. Shangazi yetu alipofariki baba alienda huko akawa kiongozi wa namna ya kuhakikisha ndugu yake azikwa bila kudhalilika. Hakika tunaishi vizuri licha ya kelele hizi zote. Babu mara kadhaa alikuwa akitukumbusha kwamba kabla ya mwaka 1940 wao walikuwa wapagani wakiishi kwa raha na starehe iweje Leo tutengane?
Nb.
Poster wa uzi huu unajiumizA tu kichwa kuhangaikia mambo yaso muhimu wakiristo na waislam vice-versa kila siku wanabadili dini. Na wengi kati yao hawana hata misimamo thabiti ya dini zao.kaa kwa kutulia sisi ni wamoja