atlas copco
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 8,545
- 9,774
Aliwekwa kinyumba na jamaa mmoja hiviBaada Ya Kusikia Swala La Maandamano Umekuja Fasta Jf Sijui Ulipotelea Wap
Aliwekwa kinyumba na jamaa mmoja hiviBaada Ya Kusikia Swala La Maandamano Umekuja Fasta Jf Sijui Ulipotelea Wap
Kumbe ndo ulichokuja kuuliza!!??umejibiwa sasa unashauri waumizwe/wauliwe watakaondamana kwa amani...anyway tushajua janja yako mzee..ha ha haaaHakuna maandamano ya amani yenye lengo la Revolution. Nakataa. Polisi na JWTZ msipumbazike na hii hadaa ya wanyonya koni. Jiandaeni kisawasawa kutumia silaha zote
ww unayejiifanya unauchungu sana nani yani ninyi watu mia mnaolala mika maisha magumu mfanye mapinduzi hakutakuwa na mabomu ya machozi kutakuwa na smg, rpg mmg na zote za maana kudadadeki bora mfe tuAcha kutisha watu mkuu na wala usijisahau kuwa na wewe ulizaliwa kama sisi tulivyozaliwa,ndio maana sote hatujui kwa nn tumezaliwa na kuwa watanzania ama wao wamezaliwa kuwa waarabu ama wazungu.tumejikuta tu tupo tena baada ya makuuzi ya kiakili na kifikra.ikitokea mtu ana madhara na ukuaji wafikra zako ama "anazikengeuza"akili zako,wewe kama lizaboni unafanya nn!!!?haya ya "kupeperushana"mihemko yanaanzia kwa "jua"kisha "mwezi" unaakisi.jua likigoma na mwezi nao utagoma na si dhani kama na nyota nazo "zitawaka"la hasha.mkuu kuna muda watawala wanatembea kwa miguu lakini wanaangalia juu kisha wakijikwaa hawasemi kama wanaangalia juu tyu bali hutafutwa kijiwe kilicho waangusha."kimya kingi kina mshindo.......lakini mtakuja sema mshindo una kimya kingi"
Magari na wanawake ni ndoto yako. Kuishi kidemokrasia na haki ni ndoto ya taifa ya 26/4!Napata ukakasi kama kweli hio siku watanzania wataandaman?kama tu waliweza kukimbia panya road ,,,,anyway nilipokua mdogo nilisema wakubwa wanafaid kweli kuwa na wanawke wazuri,magari mazur ,nyumba nzuri ,nilitaman sana niwe mkubwa,sasa hatimae nimekuwa mkubwa, nyie andamaneni tu kwakwel mi natimiza ndoto yangu ya utoton aisee
Hata Gadaffi alikuwa na jeshi tena imara kuliko hili.Yale ni mapinduzi yaliyofanikiwa hahahaha lakini haya yenu hayatafanikiwa maana majeshi yako tayari kuyadhibiti
Ndiyo maana serikali imerudisha JKT ili watanzania wapate elimu zaidi kuhusu nchi na utawala na uhalali wake. JKT tulifundishwa somo la silaha kwamba; Bunduki imetengenezwa kwa dhumuni la kumuua binadamu.mwisho wa kunukuu.Maelezo ya Lizbon yako sawa kabisa.Ukija kimapinduzi maana yake utadhibitiwa kwa silaha za moto ambazo madhumuni yake hutumika kumuua binadamu. Mange na kundi lake hawakupitia JKT hawajui ni wakati gani askari hubadilika na kuwa mnyama, wasubiri hiyo tarehe waliyoitaja watashuhudia askari wanavyobadilika ktk kuhakikisha wanawalinda wananchi watii sheria
achana naye huyó hao dawa ni kunyooshewa za moto tu si wametangaza mapinduzi inaeleweka maana yake nn mapinduzi wanajitekenya haoSijamtisha mtu bali nimeeleza uhalisia. Fanyeni hayo mapinduzi dhen muone cha mtema kuni




Hapo si CCM tena. Hapo ni wazee wa kazi. JWTZ. Tena ni kitambo hawajatest mitambo yao
Wanajeshi hawajihusishi na siasa!Hahahahahahaaaaaaa. Hapo mmeeleweka. Siku hiyo wanaume wa Kazi watakuwa na zana zote halali. subirini mkufilie mbali wakati huyo anayewahamasisha ananyonya koni huko majuu
Haki ya Nani nina hamu ya kuona kwa macho nini kitatokea siku hizo. Jeshi letu limesikika kwa kudhibiti machafuko nchi za wenzetu. sasa ni zamu ya nyumbani
Maandamano ya kweli hayahitaji mtu awaambie. Hapo ndipo mlipofeli. Yaani hadi Mange awaambie ndo muandamane! Kweli CHADEMA mmefilisikaNaona mnakuja na post za kupotosha ili mlitumie jeshi, lakini ukweli mnaujua kwamba watu wanaandamana ili kuiambia ukweli serekali hii haitii demokrasia, usalama wa watu wasiopande wa serekali uko shakani, ajira hakuna, biashara/uchumi unadondoka kwa kasi. Hivyo hayo maandamano yatakuwa makubwa sana ili umma upaze sauti kwamba umechoka na hali hiyo. Hivyo kutumia jeshi ni ili kukwepa ukweli huo kuzungumzwa hadharani. Haya mnayosema ni mapinduzi mnachomekea ili mmpate sababu ya kutumia jeshi ili kukwepa ukweli.
China inapeleka mswaada chamani kuondoa ukomo wa urais, wanademokrasia mnaloMama yako hanyonyi koni.??US Navy wako Diego Garcia miles chache kutoka hapa..hao unaowaita "wanaume'wanaouliwa na untrained soldiers habari wanayo...vyama vyote vyenye unasaba na China lazima vife...wauwe watu mabasha watue